Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
YeahAisee so hii ndio itapita mpk airport
YeahAisee so hii ndio itapita mpk airport
Mbagala ni phase two na ipo u/c,Hii ndiyo ile ya Mbagala co
Hii ni Ya Gongo la Mboto..according to time plan ya WB ilibidi iwe ishaanza kujengwa kama ya mbagala ..basi tu kuna vitu Govt wameshelewesha ..hii na phase 4 ya tegeta inabidi ziwe zimeisha by 2023Hii ndiyo ile ya Mbagala co
Tz imewaka kila idara na impact ya hii kitu itajibu baada ya miaka michache ijayo
Aisee Tz ya Magufuli ni motrooooMbagala ni phase two na ipo u/c,
Hii phase three ni kule gongo la mboto km 23.
Ilikuwa haiingii akilini kabisa airport kukosa BRT yn watu wanatoka ma kms kibaoo from abroad zen amechoka anataka kwenda Johari rotana anakutana na bonge la joka apo Vingunguti, ss itakuwa poa tena nashauri kuwe na buses kwa ajili ya airport tu na ziwe na nauli ya juu kdg ili kubana raia wa kawaida wasisumbue arrivalsMbagala ni phase two na ipo u/c,
Hii phase three ni kule gongo la mboto km 23.
Kwn kuna phase ngpHii ni Ya Gongo la Mboto..according to time plan ya WB ilibidi iwe ishaanza kujengwa kama ya mbagala ..basi tu kuna vitu Govt wameshelewesha ..hii na phase 4 ya tegeta inabidi ziwe zimeisha by 2023
Sent using Jamii Forums mobile app
lazma iingie ndani kuwepo na efficiency nzuri kwenye hio sectornaona isiingie ndan ya airport.. biashara ya tax itakufa sasa.. ipite nje ya airport tu
😂😂😂😂👇👇👇👇 ona hzo slums nyumba ukiangalia kwa macho zinadondoka anytime
yani hawa wanamaisha ya maigizo huwez amini 😂😂😂😂😅😅😅 Umeona huyo alieng'olewa grili na mwenye nyumba?
Ila Kenya Kuna kila aina ya wehu 😁😁😁
😂😂😂😂👇👇👇👇 ona hzo slums nyumba ukiangalia kwa macho zinadondoka anytime
vitu kwa ground ni ushuzi wa mende😁😁Vitu kwa ground😂😂😂😂🤭
Yeah hta mimi nmeona hilo.Inabidi kuwe na express busses za Airport- City Centre na ziwe na seat nying compared to normal BRT buses na ziwe na ma boot ya mizigo kama taxi flani special designedIlikuwa haiingii akilini kabisa airport kukosa BRT yn watu wanatoka ma kms kibaoo from abroad zen amechoka anataka kwenda Johari rotana anakutana na bonge la joka apo Vingunguti, ss itakuwa poa tena nashauri kuwe na buses kwa ajili ya airport tu na ziwe na nauli ya juu kdg ili kubana raia wa kawaida wasisumbue arrivals
Phase 6 ndo zilikuwa planned initiallyKwn kuna phase ngp
Tunaweza tumia dreamliner zetu kubeba mizigo kwa muda huu ukiangalia Ethiopian wametumia Dreamliner yao hapokumbe soko lipo, tununue na ATCL cargo yetu
😂😂😂😂👇👇👇👇 ona hzo slums nyumba ukiangalia kwa macho zinadondoka anytime