Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niliwambia Kenya sio ldc lakini huwahasikii

Sent using Jamii Forums mobile app
F8FCC879-9F5A-4C11-B71D-7E7DDB11FE10.png
50BC2D1E-BF78-4184-AA6C-2EA715936381.png
0BD7211D-3782-4F2A-B59F-8ED8E3035CBA.png
 
Kitu yenyewe hiyo hapo,angalia iko kiwambaza hapo juu hamna nguzo yoyote,iliyoshikia,kwa vile ni ndugu yangu nilimuelekeza namna ya kufanya hapo zikae nguzo,nyumba kama hii TZ huwezi kujenga bila kibali,soon naifuta hii post mkuu [emoji1787],Geza Ulole hii ndio shida niliyoiona
Kwn kiwambaza mpka nguzo, khaaa!!we wa wapi jamani mbna mwenzako kajitahidi na nyumba imeinuka...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ya jamaa yangu hii,nilimuambia,yan mtu mpk anafikia hapo serikali inamuangalia tu!
Hahaa!!hyo nyumba haina tatizo lolote, ni vile waliijenga kuunga tu ndio manake unaidharau..

Ulitaka wajenge vipi wewe wakati si ajabu hata hela ya mchoro ilikua tabu...
Tena likoni ni mawe matupu, yani hapo utaomba sana huo mjengo uanguke lkn zii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom