ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,865
Ndoto ya kenyatta hio😂😂😂Mwanza imechapwa na Thika ata,
Ndoto ya kenyatta hio😂😂😂Mwanza imechapwa na Thika ata,
Thika ikipata suburb kama hii ya kahama nitag ndio tutaongea nje ya hapo bado sana😂👇
Hatujengi uchafu kama huu ohh sisi tuna suburb 😂😂😂👇👇👇👇 nyumba hzo zina miaka 200 kila moja hapoTuoetee density km hyo hapo chini kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1415738
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mgumu kuelewa mbona ni wewe sasa 😂😂😂😂Umejibu tofauti kabisa na nilichokiandika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Narudia, mbna huaga hamjielewi manake mara mnataka watu wa zoom hatujafika mbali tena mnataka aerial..
Km mwanamke malaya vile, huaga hana msimamo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Thika bado imechapwa na Iringa 😂😂😂Mwanza imechapwa na Thika ata,
Yaan Mombasa haina tofauti na MombasaIchoboy anaita hizi ushuzi..
Kweli mtu akikamatwa huchnaganyikiwa..
Old town hyo jomba[emoji1787][emoji1787]View attachment 1414461
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona uchafu flani ivi 😂😂😂Mogadishu ina uafuadhaliHatujengi uchafu kama huu ohh sisi tuna suburb 😂😂😂👇👇👇👇 nyumba hzo zina miaka 200 kila moja hapo View attachment 1415851View attachment 1415852View attachment 1415853
Mwenyewe unaona umeandika cha maana hapo![emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]msaidie mwenzako kukielewa nilichokiandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Eighteen seventy tower in Wetlands now on excavation stage and it will 32 storey as per NEMA reportView attachment 1415603View attachment 1415604
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa ati gorofa nne you're crazyUnazungumzia hii hii kisumu yenye ghorofa nne ambayo haiwezi gusa hata kwa Arusha! [emoji23][emoji23]au kuna Kisum mpya [emoji23][emoji23][emoji23]without filter View attachment 1415642
Hii inaitwa moshi town baby😂😂👇👇Nakuru ni level nyingine hamuezani nayoView attachment 1415957View attachment 1415959View attachment 1415960View attachment 1415961
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wajinga wa kikunya maneno mengi ukiwaambia wathibitishe maneno yao kwa kupost picha wanakimbia kwa kuhamisha magoli 😂😂😂
Kisumu chali 😅😅😅😅
Mombasa imewashwa na mwanza in out hawana hamu na jana wameichokoza iringa wamekutana na kibano tena😂😂😂😂Hawa wajinga wa kikunya maneno mengi ukiwaambia wathibitishe maneno yao kwa kupost picha wanakimbia kwa kuhamisha magoli 😂😂😂
Tutaendelea kuwatoa matongotongo wakasimulie wenzao vizuri wasiendelee kupotoka 😂😂😂
There's other three next to gtc which are under construction as we spike...we have mj1 tower which has topped out, elite tower now at second floor and the newer one still at foundation
Jana wamekutana na kisiki cha iringa wakabakia kutokwa mapovu😂😂😂😂Tutaendelea kuwatoa matongotongo wakasimulie wenzao vizuri wasiendelee kupotoka 😂😂😂
Zilete hapa tuone under constructuon ukizipata tu nitag kua pembeni mwa GTC kuna building 3 mpya munajenga nasubiria hapa😂😂😂There's other three next to gtc which are under construction as we spike...we have mj1 tower which has topped out, elite tower now at second floor and the newer one still at foundationView attachment 1416025
Sent using Jamii Forums mobile app