Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Akikujibu nitag
Kisha wacha jina tu, akueleze km alipitia akienda wapi..

Juzi tu kasema km mombasa hakuna appartments ni mahoteli tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na huyo kilaza tumezoea sarakasi zake. Eti Mombasa haina apartments? 😂 😂 😂 Amewahifika Kizingo? Na Bamburi Je? What about Shanzu? Nyali? Tudor? Ganjoni? Likoni? Wacha nimpe kionjo kidogo
7ty2pw345encgbzekfpq6vjbba.jpeg
images(273).jpg
images(262).jpg
O946rBlP27jLcDX4jcz6MjvilyWgFO99zPP2fx5es1KYj52j0xQDqx4t3RqHWNRrRxxqsHqcFomYFZKWmzefL6Kep93Tqj...jpg
1470704_14031534_1062855963770167_974477110_n.jpg
a6ew3df_d.jpg
950867-Large-jaffery-complex-mombasa-kenya-kenya-construction-toppedout.jpg
images(302).jpg
images(305).jpg
images(301).jpg
images(295).jpg
images(293).jpg
images(292).jpg
images(290).jpg
images(291).jpg
images(308).jpg
 
Sheria au amri, km ni sheria hao walioenda mahakamani walifata nn, wakenya bhn[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani sheria haiwezi pingwa mahakami? You think we are led by an iron fist kama nyinyi? Sisi tuko huru kupinga kitu na kuwasilisha kesi mahakami si kama nyie
 
Kwani sheria haiwezi pingwa mahakami? You think we are led by an iron fist kama nyinyi? Sisi tuko huru kupinga kitu na kuwasilisha kesi mahakami si kama nyie
Unatakiwa uwe unaelewa kilichozungumzwa kabla ya kubweka bweka, haya niambie sheria ya kupanga rangi ya blue and white apo mombasa imepitishwa lini.
 
watakuja kuchukua bidhaa mara tatu kwa wiki [emoji122]

KQ cargo ndo bye bye zile trucks za kutoka Moshi/Arusha kupeleka hortiulture JNIA ndo kifo chake hiki! Rasmi! Kuna umuhimu wa JPM kununua cargo aircraft hata moja kubwa! aliangalie hili kwa mapana! Biashara ipo!

Anunue hii moja kwa kuanzia kama emergency!

 
Back
Top Bottom