The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
We subiri tu mkuu yn tukianza kuzindua watalia humu [emoji3] [emoji3][emoji3]Ni muda wa kufukuza watu humu
We subiri tu mkuu yn tukianza kuzindua watalia humu [emoji3] [emoji3][emoji3]Ni muda wa kufukuza watu humu
Blablablabla.....mumeishi kuimba ivo now KQ is 40yrs oldBaada ya CoVID-19 kuna mashirika ya ndege hayatarudi kwenye biashara zake kama awali yaan namaanisha yatapotea. Moja ya mashirika ayo ni Kenya airways maana ndege nyingi ni za kukodi hvyo wanalipa hadi sasa ikiwa hazifanyi kazi maana yake kuna zero income.
Pia shirika lenyewe lilikuwa limeelemewa na madeni hata kabla ya Covid-19.
Its time Air Tanzania to take over an east africa air business.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Narudia tena, uswazi huku kwetu ni slums, km huamini lia bossUswazi hatujengi vibanda,vile vibanda vya kibera,mathare,dandora,mukuru ni vya aina yake,that's why mzungu huwa anakuja kutalii kwa sababu huwezi kuvikuta vibanda kama vile popote duniani,ni nairobi pekee
Umeona sasa akili zenu mgando zinawafanya muonekane vilaza...Hoteli iko poa ila hapo pembeni ss hehehehee depicts the whole environment of an area
Naona bonge la suburb mwanza, big up ldc[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ukipata suburbs nitag[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1412465View attachment 1412466
Hahahahaa!!mama ngina si imekuuma mazee...Wamepata mama ngina juzi wakat vitu hvi mwanza viko kila sehemu miaka 10 sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1412469View attachment 1412470View attachment 1412471View attachment 1412472
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahaa!!mama ngina si imekuuma mazee...
World class wala sio hyo miti yenu km migomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Meanwhile barabara za kutulepeleka mwanza suburbs[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1412965
Sent using Jamii Forums mobile app