Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KQ cargo ndo bye bye zile trucks za kutoka Moshi/Arusha kupeleka hortiulture JNIA ndo kifo chake hiki! Rasmi! Kuna umuhimu wa JPM kununua cargo aircraft hata moja kubwa! aliangalie hili kwa mapana! Biashara ipo!

Anunue hii moja kwa kuanzia kama emergency!

Hata hzi dreamliner zinaweza piga kazi for mean..time...unajua hao ethiopian wametumia dreamliner hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnajitahidi sana kwa make-up,lakini picha za kenya bila make up zinakuwa ugly. ...look at the third photo!
Wacha nkuongezee ingine ya Thika town ulie kabisa
40685720693_4aa9f019bc_b.jpg
zur.JPG
14272339860_0a0804e55d_b.jpg
46928369554_8c99d80e63_b.jpg
del.JPG
IMG_20200222_112130_7.jpg
IMG_20200222_110655_4.jpg
IMG_20200130_144708_8.jpg
IMG_20200222_111705_7.jpg
IMG_20200224_153647_3.jpg
IMG_20200222_111133_4.jpg
 
Back
Top Bottom