Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
ICU zile za Mandela ni za kisanii sanaHahaha!!zile picha za mandera zimewatia kiwewe..
Wanjala, watupie tu wazidi kuumi..
Wanashangaa inakuwaje mandera inakua na ICU
Sent using Jamii Forums mobile app