Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
kwani kuna Nairobi burundi..?..[emoji56][emoji56]Nairobi Kenya
View attachment 1407675
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani kuna Nairobi burundi..?..[emoji56][emoji56]Nairobi Kenya
View attachment 1407675
Si kama nyinyi failed state ohh sisi GDP ushuzi wa mende munaomba msaada mpaka wa kupambana na locust😂😂Umekesha ukitafuta jibu?
Naona hata mnakopa hata za elimu ya sekondari na za Corona pia 😁 "Dona kantri"
Tanzania yaomba Mkopo wa USD mil 198 kupambana na Corona. Yahisi hali mbaya ya kiuchumi - JamiiForums
Kashachanganyikiwa mwacheni plz😂😂Source : jf thread[emoji3][emoji3][emoji3]
LDC is not a life sentence tutavuka apo by 2022!! Ni jambo la kuvuta subira tu2020 bado mpo LDC? Najua inauma but itabidi uzoee. Kama rangi ya Kenya na Tz hazifanani, reply [emoji6]View attachment 1407975
Ethiopia and tanzania top regions in military equipements purchase ule msemo sisi tuna budget kubwa ya military iko wapi mamamee😂😂😂😂😂 magu kawaeka pabaya sana
Hio sio Total military budget hio ni purchase millitary equipments budgetHahahaha 104 million dollars? Please 😂😂 KDF annual budget is 1.5 Billion dollars my friend.
Ila hongereni kwa hiyo 104m. Bado ni hela ndefu.
Alikuja kwa speed 😂😂😂Dada yake kapigwa miti kisawasawa na kaachwa juu😂😂😂
Mambo yameanza kuiva😂😂😂👇👇
Si kama nyinyi failed state ohh sisi GDP ushuzi wa mende munaomba msaada mpaka wa kupambana na locust😂😂
komora anakuambia kitanda ndo muhimu zaidi,ventilator sio muhimu..😂😂😂bila ventilators 😂😂😂😂😂😂☝
Hahahaha 😂😂 you guys (both TZ and ETH) have spent a tenth of OUR annual budget in "weapons"!? 😹😹😹yaani a TENTH! of KDF budgetHio sio Total military budget hio ni purchase millitary equipments budget
Unajua maana ya millitary equipments purchase au???😃😃😃 punguza mihemuko ya kipumbavu
Until then let us make fun of you guys. 😉LDC is not a life sentence tutavuka apo by 2022!! Ni jambo la kuvuta subira tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa!!kwn siku hizi na wewe umeanza "kufugwa"Kuja wakuonge na wewe.
Uhehehe natural disease ndio GDP yenu haiwezi kupambana basi itakua ni ushuzi wa GDP 😀😀😀😀Locust ni natural disaster Ila Kukopa kwa ajili ya elimu ya sekondari ni aibu sana.
Wewe tuko hapa usihepe mada ya Failed State(Kenya) vs Ghost State(Tanzania). Mpo hapa ligi yenu kina Yemen na Haiti...mnajiskia mko nyumbani bro 😎View attachment 1408429
Ethiopia ni LDC ndugu,hivi unajitambua kweli????Unataka niifananishe na LDC Tz au Burundi? Pole Sana bro but ligi yetu labda Ethiopia ukanda huu, nyie mpo nambari 3 juu kiasi ya wenzenu kwenye ligi ya LDC Uganda na Rwanda.