Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The higher the debt to GDP ratio, the wealthier the country.

Hapa hupati LDC sijui Tanzania, Malawi ama Burundi.
View attachment 1407884

Hapa pia hupati LDC
View attachment 1407885

Hapa pia LDC kina TZ hawamo. Tupo ligi moja na wanaotaka kuwajengea Bagamoyo port. 😁😁 Takwimu bro hazidanganyi.
View attachment 1407887

Nchi zote ziko hiki kikundi Cha mwisho ni LDC 😂😂 sio Mimi nimesema...Takwimu msema kweli.View attachment 1407888
So leo kenya unaifananisha na italy au america au japan 😂😂😂😂 yani huu ndio upumbavu uliobakia kichwani mwenu unafananisha developed countries debts na developing countries debts rudi shule ukasome vzr 😁😁😁 yani athari ya 64% debt to GDP ratio kwa kenya ni kubwa sana kias kwamba hata pesa ya kupambana na locust hamuna mpaka mupewe sadaka hope umenielewa hapo

ndio maana mumefki mpaka hatua ya kukopa loan kulipa loan 😀😀😀 sijawah sikia nchi imefkia hatua hio
 
Kenya +Ethiopia +Tanzania + Uganda GDP Is less than EGYPT GDP ,Tafakari Unaposema powerhouse za ujinga ujinga basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania + Uganda + Rwanda + Burundi + South Sudan = Kenya
Ukanda huu;
1. Kenya
2. Ethiopia
3. Tanzania
4.Uganda
5.Rwanda

Ligi yenu ni 3-5. Hao mtaelewana viema...birds of a feather flock together 😁
 
So leo kenya unaifananisha na italy au america au japan 😂😂😂😂 yani huu ndio upumbavu uliobakia kichwani mwenuunafananisha developed countries debt na developing countries debt rudi shule ukasome vzr 😁😁😁
Unataka niifananishe na LDC Tz au Burundi? Pole Sana bro but ligi yetu labda Ethiopia ukanda huu, nyie mpo nambari 3 juu kiasi ya wenzenu kwenye ligi ya LDC Uganda na Rwanda.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] natumai two months to come itakuwa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

1ksh = 20 Tshs

Whilst two years later will be like[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

1ksh = 10 Tshs

And, Five years after today, the game will be [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]

1ksh = 1.5 Tshs

Na km wasipoamka mapema 10 years after today ngoma itakuwa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

1Tsh = 2 kshs

Km mnabisha nyie subirini muone maana hyo exportation tutafanya ktk kipindi cha hii miaka 10 ijayo, hakuna nchi ya EA itatugusa, hvyo nategemea dafu kupanda zaidi kulinganisha na pesa za nchi jirani.
Si ingelianza dollar kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaumwa mavi wewe GoK till today has spent not more than $200 mln for Lamu port construction an amount each of Tanga n Mtwara ports has spent.
And yet they look like fishing villages 😁😁😁 hii ni baada ya kushindwa na Bwagamoyo. Mtapokea mzigo wa Lamu mpende msipende 😂😂
 
Unataka niifananishe na LDC Tz au Burundi? Pole Sana bro but ligi yetu labda Ethiopia ukanda huu, nyie mpo nambari 3 juu kiasi ya wenzenu kwenye ligi ya LDC Uganda na Rwanda.
Soma hii comment vzr plz😂😂👇👇
So leo kenya unaifananisha na italy au america au japan 😂😂😂😂 yani huu ndio upumbavu uliobakia kichwani mwenu unafananisha developed countries debts na developing countries debts rudi shule ukasome vzr 😁😁😁 yani athari ya 64% debt to GDP ratio kwa kenya ni kubwa sana kias kwamba hata pesa ya kupambana na locust hamuna mpaka mupewe sadaka hope umenielewa hapo

ndio maana mumefki mpaka hatua ya kukopa loan kulipa loan 😀😀😀 sijawah sikia nchi imefkia hatua hio
 
Unataka niifananishe na LDC Tz au Burundi? Pole Sana bro but ligi yetu labda Ethiopia ukanda huu, nyie mpo nambari 3 juu kiasi ya wenzenu kwenye ligi ya LDC Uganda na Rwanda.
64% debt to GDP kwa kenya maana yake mumefikia red line in economy😂😂👇👇 mchina kawatia kuti kavu mchana kweupe

Unataka niifananishe na LDC Tz au Burundi? Pole Sana bro but ligi yetu labda Ethiopia ukanda huu, nyie mpo nambari 3 juu kiasi ya wenzenu kwenye ligi ya LDC Uganda na Rwanda.
Hehehe GDP imejaa madeni na iko kwenye red line sahii unaongea mambo ya ushuzi wa GDP😂😂😂👇👇👇

Huwez kuimba mambo ya GDP hapa wakat nchi ikitikiswa kidogo bidhaa zinakwenda juu tena hasa vyakula 😂😂👇👇👇

mwaswast tuliza kichwa budaa

Wenzenu sio failed state ni nyinyi pekeenu africa 😂😂😂😂
Ukanda huu Afrika ya Kati na Mashariki
1. Kenya
2. Ethiopia
3. Tanzania
Kuna siku mlikuwa mnashikilia nafasi ya Kwanza in the 70s. In the 80s & 90s Kenya ikachukua nafasi ya 1 na kuwatupa Tz no 2. Hivi majuzi 2018 Ethiopia pia kawaona wanyonge na kuchukua nafasi yenu na hivi Sasa kwa dakika hii ukisoma reply yangu mpo namba 3...Ethiopia kawapiku mkituita failed State.
Kenya is East and Central Africa's Economic power house upende usipende.
 
Back
Top Bottom