To be no. 1 is not the case, the issue is can u be able to remain at that number, [emoji3][emoji3] hzo nchi zilizo juu ya Tz zote hazina uwezo wa kupambana na Tz km tukiamua, hv ushawahi jiuliza kwnn baada ya kutoka Nyerere madarakani nchi ikapoteza namba yake? Kumbuka kwamba by the time Tanzania leads the region economically Kenya was more industrialized than any country in the region na hzo industries zilikuwa lead by whites, hapa nakukumbusha tu kwmb even wazungu failed to help you beating Tz economically, unajua ni kwnn? Nchi hii imebarikiwa mali za kila aina including oil ambapo tunasubiri tu confirmation kutoka kwa experties, ss leo Nyerere karudi kwa style nyingine na miaka yake mi5 tu ya mwanzo imetosha kuwaonesha Tz maana yake nini, ss subirini miaka yake mingine miwili ya kuzindua zen mitatu itayobaki ya kuuwa kila kitu [emoji3][emoji3][emoji3] omba uhai ushuhudie Tz ikipambana na SA, Egypt and Maroc na co Kenya, inauna ila ndo hamna jinc lazima mzimeze tu hz bitter pills[emoji3][emoji3][emoji3]