Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,918
- 107,379
Nashauri misa za Ijumaa kuu na Pasaka zifanyike online! Maana things r getting worst!
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]NAIROBI KENYA
View attachment 1406799
Huyo gavana mbona sarawili yake ni kama kajinyea?
Nchi nyingi teyari wanafanyia online, hii kitu ikianza kusambaa, kizaa zaa chake itakuwa noma.Nashauri misa za Ijumaa kuu na Pasaka zifanyike online! Maana things r getting worst!
tatizo JPM naye imani imemzidi!Nchi nyingi teyari wanafanyia online, hii kitu ikianza kusambaa, kizaa zaa chake itakuwa noma.
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Let the Almighty God have mercy on you Kenyans! How can you real fight against Corona in such circumstances?
5.AirportLigi sifuatazo mpaka sasa hamutazisikia tena kutoka kwa wakenya[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
1.SGR
2. SLUMS
3. MILLIONARES
4. ICU
naombeni tuendelee mbele sasa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hana akili huyo....Dada yao kasusa[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
wanjala unavituko sana,, kwa hiyo hiyo nyumba uliyo iselekt ndiyo umeona nyumba bora kuliko zote kiasi cha kwamba ipo nairobi pekee...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Toa uchafu wako hapa tazama nyumba km ulikuwa hujui nyumba maana yake nini [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]A HOUSE IN NAIROBI. BRING ANY THAT MATCHES SUCH FROM DAR??
View attachment 1406746
View attachment 1406748View attachment 1406749View attachment 1406751
Hio mada hawaitaki never ever 😂😂😂Nafikiri huu ni muda muafaka wa kuingia kwenye Afya Tanzania vs Kenya