Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii[emoji205] kwa kusahau unajua kitu inaitwa PPI.
Kuna Mdada wa kikenya kapost tsh20000 kisha kasema ni sawasawa na ksh1000 ila vitu hiyo hela inaweza kufanya ukiwa tz ni Mara 5 ya kenya


Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha!!hku bei za bidhaa kenya tz na ke kumbe hazijapishana[emoji1787][emoji1787]
Usitake kuhalalisha malipo yenu duni kisa eti unataka kuonekana umeoandika point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hzo taa mm ndio huwa zinanikosha kabisa, ucku uswahilini kunawaka km paris af hawa wahuni wa kibera wanasema tuko na 6000km hv wanajua kinachoendelea Tz kweli, mm nakwambieni nyie subirini report mpya watalia humu ndani we ngoja tu tuwe nasubira wakuu, kuku wetu manati ya nn atarudi bandani mwenyewe
Street lights hta turkana zipo so uache ushamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbna hutaki kukubali km ICU beds nazo ni healthcare facilities[emoji1787][emoji1787]
Najua hutaki kuumbuka manake kulingana na definition walionyeshe kabisa km huenda ikawa ni department of a hospital au health care facility...
Anyway swa tu, wacha yaishi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
We mhuni jamaa afu lazma ushawai kuwa tapeli maana unajua sana kuwa kinyonga ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakenya poleni sana endeleeni kubakia na ujinga wenu mkifikiri kuwa dunia inawangojea nyie[emoji23]
images%20(4).jpg
unnamed.jpg
images%20(3).jpg
images%20(2).jpg
images%20(1).jpg
images.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom