Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na halitabadilisha maana ya ICU kwamba ukiwa na critical care bed ni ICU tayar[emoji23][emoji23]
Na pia health care facility(critical care bed) that provides intensive treatment medicine pia ni ICU according to your post[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20200331-235735.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Dar hakuna road construction? Kuwa na mass transit system Ni muhimu kwenye Majiji Makubwa. You are right.. some MDCs don’t have BRT systems but they have others like light rail, metro systems Ila kwa nyie you have NOTHING
Wana yale maroli yamechorwachorwa sijui matatu[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio ndio ICU au sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ohh sisi tuna ICU 350 mamaeee hilo neno hamutalirudia tena humu ndani
Hyo sio health care facility ambayo ina provide intensive tretment medicine sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Yani post yako mwnywe ndio inakuumbua jomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua mzee huko yombo niliwahi kupita hapo cku moja nikawish kupiga picha niwaletee humu sema ckupata nafasi, papichulo km ukiweza just shoot video uwaletee humu maana bado hawajaelewa dmdp manaake nn
👍👍👍 Poa hiyo kazi nitaifanya kesho ..DMDP noma sana
 
kuna ile barabara inatoka korogwe hadi maji chumvi (jeshin/external) ni noma ase.. na ile kupanda na kushuka kwake hadi raha ase
Ss leteni hizo picha wakuu tubadilishe hali ya hewa humu, wao wanapost zile zile cc tulete mupyaa
 
Back
Top Bottom