Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,063
- 8,227
Huku ndo kitaa kwetu Kimara Korogwe ..DMDP kweli ime improve alot of roads
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
NileteeUnataka nikuletee post yako hapa ukicheka Tz kumtegemea Mungu au
Health care facility hapo kamaanisha department na co km unavyotaka kutafsiri ww mtaalamu wa English [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Bwahahaha!!najua hutaki kuamini...
Maana ya health care facility ni nn[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Health care facility hapo kamaanisha department na co km unavyotaka kutafsiri ww mtaalamu wa English [emoji3][emoji3][emoji3]
(Department of a hospital or health care facility)Health care facility hapo kamaanisha department na co km unavyotaka kutafsiri ww mtaalamu wa English [emoji3][emoji3][emoji3]
Hyo DMDP ni hatari mzee, na km wataamua kuzipigia hesabu kilometres za lami zilizoongezeka kutokana na DMDP basi itakuwa balaa sn tutakuwa na km nyng sn za paved roadsHuku ndo kitaa kwetu Kimara Korogwe ..DMDP kweli ime improve alot of roads View attachment 1406166
Sent using Jamii Forums mobile app
They are the same(Department of a hospital or health care facility)
Changanua kidogo hapo mr english
Sent using Jamii Forums mobile app
Health care facility inaweza kuwa pia ni jengo la hospitali kutegemea na the way neno limetumika fundi wangu wa English [emoji3][emoji3](Department of a hospital or health care facility)
Changanua kidogo hapo mr english
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu tena?, Mungu alitumrisha kwamba tuzidi kumuomba na kumkibilia tunapopata shida, ninyi badala ya kumkibilia, sasa hivi mnamkibia hamtaki hata kukaribia nyumba zake, mnaogopa Corona kuliko Mungu, hamuamini tena kwamba Mungu anaweza kuwaponyesha, badala yake mnawasikiliza madaktari wanaosema mkienda kusali mtaambukizana. Acha kumtania Mungu, tupambane wenyewe kama wanadamu.Mungu ndio anajua hatima ya huu ugonjwa, kwhyo hayo mawazo yako hata hayana faida yyte katika hii dunia ambayo watu sai wameamua kumlilia muumba wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi ndio mdudu gani, kw Mungu hakuna kitu km nynyi..Mungu tena?, Mungu alitumrisha kwamba tuzidi kumuomba na kumkibilia tunapopata shida, ninyi badala ya kumkibilia, sasa hivi mnamkibia hamtaki hata kukaribia nyumba zake, mnaogopa Corona kuliko Mungu, hamuamini tena kwamba Mungu anaweza kuwaponyesha, badala yake mnawasikiliza madaktari wanaosema mkienda kusali mtaambukizana. Acha kumtania Mungu, tupambane wenyewe kama wanadamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani sasa umeanza kuelewa, kitanda cha wagonjwa mahututi kulingana na wewe kwa kimombo kinaitwajeThey are the same
Hahahaha, muache Mungu apumzike, endeleeni kuwasikiliza madaktari wanaowakata kwenda kumuomba Mungu katika nyumba za ibada [emoji23][emoji23][emoji23]Nyinyi ndio mdudu gani, kw Mungu hakuna kitu km nynyi..
Kila mtu na mzigo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Swadakta, haya nisaidie hapo juu kidogo[emoji115][emoji115][emoji115]Nadhani sasa umeanza kuelewa, kitanda cha wagonjwa mahututi kulingana na wewe kwa kimombo kinaitwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Health care facility inaweza kuwa pia ni jengo la hospitali kutegemea na the way neno limetumika fundi wangu wa English [emoji3][emoji3]
Ndio unawaambia hao nynyi, endelea kuwapasha basi..Hahahaha, muache Mungu apumzike, endeleeni kuwasikiliza madaktari wanaowakata kwenda kumuomba Mungu katika nyumba za ibada [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
ICU bedsSwadakta, haya nisaidie hapo juu kidogo[emoji115][emoji115][emoji115]
Sent using Jamii Forums mobile app
Icu beds...ICU beds
Ww kombora wacha kunichosha kwa kubadili gear angani cc hoja yetu ni kwamba ICU beds co ICU but icu ni muunganiko wa facilities nyng ikiwemo beds
Mbna hutaki kukubali km ICU beds nazo ni healthcare facilities[emoji1787][emoji1787]Ww kombora wacha kunichosha kwa kubadili gear angani cc hoja yetu ni kwamba ICU beds co ICU but icu ni muunganiko wa facilities nyng ikiwemo beds