ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,865
Yani maana ya ICU haitabadilika go east or west πππππππ
Yani maana ya ICU haitabadilika go east or west πππππππ
ππππkaanza kuvhanganyikiwa tayar ohh tuna ICU 350 hutaisikia tenaUnataka nikuletee post yako hapa ukicheka Tz kumtegemea Mungu au
Ujifunze hapa basic knowledgeππππ
Critical care bed sio ICU ila ni kitanda kinachoingizwa kwenye chumba cha ICU yani maana haitabadilika mark my words πππMbna hutaki kukubali km ICU beds nazo ni healthcare facilities[emoji1787][emoji1787]
Najua hutaki kuumbuka manake kulingana na definition walionyeshe kabisa km huenda ikawa ni department of a hospital au health care facility...
Anyway swa tu, wacha yaishi hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc:nicxie kuja uone critical care beds za bongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwao wanaita ICU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana ya ICU hii hapa ulituletea jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Critical care bed sio ICU ila ni kitanda kinachoingizwa kwenye chumba cha ICU yani maana haitabadilika mark my words [emoji23][emoji23][emoji23]
na ukitaka kujua maana ya ICU [emoji116][emoji116][emoji116]
Hio ndio ICU au sio πππππ ohh sisi tuna ICU 350 mamaeee hilo neno hamutalirudia tena humu ndaniCc:nicxie kuja uone critical care beds za bongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vs kenyaView attachment 1406232
Sent using Jamii Forums mobile app
Na halitabadilisha maana ya ICU kwamba ukiwa na critical care bed ni ICU tayarππMaana ya ICU hii hapa ulituletea jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1406233
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro waambie ni kms ngapi toka CBD...Huku ndo kitaa kwetu Kimara Korogwe ..DMDP kweli ime improve alot of roads View attachment 1406166
Sent using Jamii Forums mobile app
where r ur isolation rooms?Cc:nicxie kuja uone critical care beds za bongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vs kenyaView attachment 1406232
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ amechanganyikiwa tayar mpeni muda apumue kwanza mutamuuawhere r ur isolation rooms?
Najua mzee huko yombo niliwahi kupita hapo cku moja nikawish kupiga picha niwaletee humu sema ckupata nafasi, papichulo km ukiweza just shoot video uwaletee humu maana bado hawajaelewa dmdp manaake nnBro waambie ni kms ngapi toka CBD...
DMDP ni hatari sana,wamefanya maajabu huku yombo