The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Haya mengine inapaswa kulia co kucheka[emoji24][emoji24][emoji24]
Haya mengine inapaswa kulia co kucheka[emoji24][emoji24][emoji24]
Kiboko yao maamaeee tunawakumbusha tu[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mido inkamu kantri mmejaa vihoja
Nashukuru zimekuja kipindi cha MAGUFULI impact yake itaonekana.Habari kubwa hii mkuu
Nasikia packages zake zitajenga special schools zenye hadhi ya nyota 5 nchi nzima na zenye facilities zote za shule za kishua
So mna ICU 518 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mido inkamu kantri mmejaa vihoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani amesema hivyo kilaza? Hizi ICU beds ni vitu zimekuwa hata kabla tujue covid-19 ni nini. Zile zimetengwa kwa ajili ya corona patients ni isolation wards na ziko kila CountySs hapo mcmamo wako uko wapi kwmb ICU ni room au ni kitanda na km ni room so unataka kuniambia kwamba mna room 518 kwa ajili ya corona virus victims
tukiwaambiwa kuwa wakenya ni vichaa wanakataakuna hii pia [emoji23][emoji23]
In his screenshot, this is how ICU is defined:Kitanda ni sehemu ya ICU, kuna vitu vingine vingi unahitaji ili ukamilishe ICU.. Ichoboy was right, huwezi kuwa na critical care beds basi ukatoka kifua mbele useme una ICU [emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
An intensive care unit (ICU), also known as an intensive therapy unit or intensive treatment unit (ITU) or critical care unit (CCU), is a special department of a hospital or health care facility that provides intensive treatment medicine.
Bus stages haipimi virusi vya coronaThe ultra moderN bus stage in east and central africa msamvu morogoro😂😂👇👇 wakenya fikeni hapa kwanza
View attachment 1405751View attachment 1405752View attachment 1405753
Kwn unadhani hawajui sema jana kuna mada ichoboy alitaka kuwabananisha ss wakaikwepa kwa kutaka kumtoa icho kwny reli japo tuliwastukia lkn tukaona twende nao hvyo hvyo [emoji3][emoji3]Kitanda ni sehemu ya ICU, kuna vitu vingine vingi unahitaji ili ukamilishe ICU.. Ichoboy was right, huwezi kuwa na critical care beds basi ukatoka kifua mbele useme una ICU [emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bwana Ichoboy mbona kwa kuweka maneno haya unathibitisha pasipo shaka kwamba ICU na critical care unit (CCU) ni kitu komoja, au ndugu yetu English imekupita kushoto??Usipoteze muda 👇👇👇👇View attachment 1405462
😂😂😂👇👇👇munatandika vitanda munaita ICU mamaeeAn intensive care unit (ICU), also known as an intensive therapy unit or intensive treatment unit (ITU) or critical care unit (CCU), is a special department of a hospital or health care facility that provides intensive treatment medicine.