ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
πππππππ Jiridhishena ile maabara yao moja wakijaribu sana ni watu 50
Mnapoteza muda kubishana na hizo shosho mbili!
Embu kuweni serious πππ
πππππππ Jiridhishena ile maabara yao moja wakijaribu sana ni watu 50
Mnapoteza muda kubishana na hizo shosho mbili!
Embu kuweni serious πππ
Jahazi iliingia maji kitambo sana. Mahali imefika lazima tu izame
Bwahahaha!!hku wengine wakijisifia eti wako juu katika hyo sektana ile maabara yao moja wakijaribu sana ni watu 50
Alaf mukapewa ushahidi mukakimbiaππ
Kumbe unawajua π π π wale wa kukata viuno hadi viteguke
Jamaa wameamua kumtuma mercenary ndio aje avuruge mada yetu...Jahazi iliingia maji kitambo sana. Mahali imefika lazima tu izame
Munapeleka test south africa alaf munakuja fungua ushuzi wenu humuππππ ohh sijui laboratoryJamaa wameamua kumtuma mercenary ndio aje avuruge mada yetu...
Unakumbuka nilikwambia km atatumwa kijakazi mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna nisiwajue, tena siku hizi mpka wamepewa vitengo..Kuna unawajua [emoji23] [emoji23] [emoji23] wale wa kukata viuno hadi viteguke
Of course wako juu... kutoka chini π π π π π
Hatuwezi kubali muvuruge mada, leo hamtokiMunapeleka test south africa alaf munakuja fungua ushuzi wenu humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ohh sijui laboratory
Mamaee mulipeleka test ya nn south africa au laboratory watu wameibaππππ
Kuna mmoja mpka sasa anaogopa kufafanua maana ya hospitaliOf course wako juu... kutoka chini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ohh sisi tuko vzr kwenye hospitals basi twende kazi ohh sijui ushuzi wangu unanuka ohh sijui naharisha mamaeee anaejiamini mkenya yoyote ajaribu mada ya hospitals kati ya tanzania na kenya aone πππππ
Hebu niambie Ichoboy kapewa kitengo gani? Alipewa ya geography lakini Naona inamlemea π π π
Msipoteze muda kubishana na hizo shosho mbili huwa hazina akili vipo vipo tu ili mradi,πππππππ Jiridhishe
ππππππ kama ww mwanaume jaribu zali ujionee
Ohh sisi tuko vzr kwenye hospitals basi twende kazi ohh sijui ushuzi wangu unanuka ohh sijui naharisha mamaeee anaejiamini mkenya yoyote ajaribu mada ya hospitals kati ya tanzania na kenya aone πππππ
Hopitali ni jengo, kwani hujui? Hata kama ni gofu π
Eti leo wanaogopa vita ya hospitals kati ya tanzania na kenya wamebakia kuzungusha mada hapaππππMsipoteze muda kubishana na hizo shosho mbili huwa hazina akili vipo vipo tu ili mradi,
Yaani bora uende jukwaa la Mmu kwenye ule uzi pendwa πππ
Kenya Least Prepared To Battle Coronavirus- America Journal