Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unafikiri laboratory ni kitu unajenga leo na inaanza kazi kesho? Kama hivyo ndio sisiemu waliawaambia basi waliwadanganya. Secondly, we are reporting many positive cases because we have three times your capacity to do testing. In the last 24 hours alone, we've tested almost three hundred people. Do you even know how many your laboratory has tested in the last 24 hours? I can bet that you don't. Hao tisa ambao wamepatikana leo hawangejulikana wako na ugonjwa if we didn't do the testing na wangeendelea kuambukiza wengine zaidi
Hapo unampigia mbuzi gitaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi bhn ichoboy tuendelee na mambo mengine unajua wkt mwngne mtu mzima co mpk akuambie we mtazame tu usoni zen jaribu kumuelewa
 
Kwan mm naongea nn 😃😃😃 kwani sasa hvi munakaa nyinyi miaka 12 maendeleo tanzania ni sawa na miaka 60 ya maendeleo yenu
Maendeleo gani mko nayo? Ya kuwa na maabara moja nchi nzima and 50 ICU beds? Hiyo ndio maendeleo kwa mujibu wa sisiemu??
 
Sisiemu ilwaambia wako mbele in matters healthcare. What do you expect a tanganyikan to do after such heavy words from sisiemu? They have to sing along of course. Kwa ground vitu ni different [emoji23] [emoji23]
Yani hadi nawasikitikia walai, mtu utamkuta anashangilia vitu kisa flani kasema..
Akili zengine bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna kitu imewaanika ni hii Coronavirus. Na hii majigambo yote Tanganyika and Zanzibar combined have only 50 ICU beds capable of handling Covid-19 patients while Kenya has over 350 😂 😂 😂
Niletee official source kenya ina ICU rooms 350 ukipata nitag mm wakwanza 😃😃😃
 
Yani hadi nawasikitikia walai, mtu utamkuta anashangilia vitu kisa flani kasema..
Akili zengine bana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Coronavirus imeonyesha jinsi blind patriotism is a stupid thing. Unasifia kitu hauna!!! Are they even aware that we are in the process of starting to manufacture our own ventilators and protective gears? Kule South watu wanaambiwa waendelee na maombi 😂 😂
 
Maendeleo gani mko nayo? Ya kuwa na maabara moja nchi nzima and 50 ICU beds? Hiyo ndio maendeleo kwa mujibu wa sisiemu??
Maendeleo gani tuko nayo sindio hayo ambayo yanawanyima usingizi au hujui😃😃😃 niletee official source kua kenya ina ICU 350 nakwambia ukipata nitag mm
 
Af ww na nicxie kila nkiangalia comments zenu I feel the signs of inferiority complex over Tz mna wasi wasi mnoo
Tanzania inipe inferiority complex 😂 😂 😂 😂 😂 Sema nchi nyingine, sio hii yenu ya viwonder
 
Back
Top Bottom