Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anataka iandikwe ICU ndio aelewe. Si unajua kizungu kizungumkuti? 😂 😂
Ahahahaha mamaee munafanya watu wapuuzi humu ndani kazi mulioifanya nyinyi kutandika vitanda kwa ajili ya wagonjwa wa corona na sio ICU labda hujui maana ya ICU😂😂😂
 
518 beds and not ICU 😂😂😂 hvi ww unajua maana ya ICU maana yake unaijua

mulichokifanya nyinyi kutandika vitanda ndani ya wodi kwa ajili ya wagonjwa wa corona and not ICU😃😃😃
518 beds and not ICU 😂😂😂 hvi ww unajua maana ya ICU maana yake unaijua

mulichokifanya nyinyi kutandika vitanda ndani ya wodi kwa ajili ya wagonjwa wa corona and not ICU😃😃😃
ICU ni nini Dr Ichoboy? 😂 labda utuelimishe kidogo leo
 
ICU ni nini Dr Ichoboy? 😂 labda utuelimishe kidogo leo
Worry out Dr BRT😂😂👇👇👇
16C74548-DC13-46CC-9CB3-9201EF876450.jpeg
 
wacha nimsaidie kidogo, vitanda vya ICU ni kwa ajili ya wagonjwa wa ICU halafu hvyo critical care beds ni kw ajili ya wale wagonjwa amabao wako in critical condition[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
The later is called HDU (High Dependency Unit). Wako nazo nane tu in the entire country. Kweli hawa watu wametushinda
 
Back
Top Bottom