Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hisia hizi zote ni za nini? Tunaongelea miundombinu wewe unaniambia ukombozi! Hiyo Satafrika mliokomboa mbona haikuchelewa kushika ndege yenu?
Kwan mm naongea nn 😃😃😃 kwani sasa hvi munakaa nyinyi miaka 12 maendeleo tanzania ni sawa na miaka 60 ya maendeleo yenu
 
I am surprised that they are depending on just one laboratory to test Covid-19 both in Tanganyika and Zanzibar! Na vile tunaambiwa how far they've gone in matters healthcare!! [emoji23] [emoji23]
Huwa hatukurupuki hilo jambo tumekuwa tukiwaambia kila inapoitwa leo, kenya ina corona cases zaid ya 50, Tz ina 19 kuna haja gani ya kuwa na labaratory 10? Huwa tunaangalia uhitaji hatukurupuki, kasi ikiongezeka labs zinaongezeka na zinaweza jengwa hata kwa cku mbili km china vile cz tunajiaweza[emoji3][emoji3]
 
Mulianza miaka 50 iliopita je muko wap sasa hvi ushuzi wa bata wakat sisi tunakomboa nchi za africa mpaka 1994 tunaikomboa south africa mulikua munajenga nchi yenu nampaka 2000s tunaikomboa comoro na tukaanza kujenga hii nchi just 12 yrs ago leo tunawatandika bakora kisawasawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakombozi wamebaki kuwa ldc[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia kukuuliza wewe uko tayar kushindana na hospitali za tanzania uko tayar jibu swali tuendelee
Kuna nini ya kushindana nayo hapa sasa??ficha aibu
tapatalk_1585681208881.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom