Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maana ya hospital utaijua baada ya kwenda sambamba kwenye mchezo usiohitaji hasira nakwambia kama ww mwanaume mm niko tayar tuanze sasa hvi alaf tuone kama utakaa humu ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anakwepaaa [emoji3][emoji3][emoji3] kweli hii co Tz ya 90s, hawez kukubali cz anajua kitakachofuata ni aibu
 
Hapo sasa ndipo hawapataki, manake mkulu kawaaminishia hospitali ni majengo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna kitu imewaanika ni hii Coronavirus. Na hii majigambo yote Tanganyika and Zanzibar combined have only 50 ICU beds capable of handling Covid-19 patients while Kenya has over 350 😂 😂 😂
 
Kama kuna kitu imewaanika ni hii Coronavirus. Na hii majigambo yote Tanganyika and Zanzibar combined have only 50 ICU beds capable of handling Covid-19 patients while Kenya has over 350 [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ww vp upo tayari mana mwenzio anakwepaa [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]
Maana ya hospital utaijua baada ya kwenda sambamba kwenye mchezo usiohitaji hasira nakwambia kama ww mwanaume mm niko tayar tuanze sasa hvi alaf tuone kama utakaa humu ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kuna kitu imewaanika ni hii Coronavirus. Na hii majigambo yote Tanganyika and Zanzibar combined have only 50 ICU beds capable of handling Covid-19 patients while Kenya has over 350 [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani nilicheka sana, kisha utaskia mtu anasema tanzania sekta ya afya balaa..

Yani sijakosea, wanavyoringia watu eti runa vitu vya afya sijui mia ngapi, kumbe ni magofu[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa hatukurupuki hilo jambo tumekuwa tukiwaambia kila inapoitwa leo, kenya ina corona cases zaid ya 50, Tz ina 19 kuna haja gani ya kuwa na labaratory 10? Huwa tunaangalia uhitaji hatukurupuki, kasi ikiongezeka labs zinaongezeka na zinaweza jengwa hata kwa cku mbili km china vile cz tunajiaweza[emoji3][emoji3]
Unafikiri laboratory ni kitu unajenga leo na inaanza kazi kesho? Kama hivyo ndio sisiemu waliawaambia basi waliwadanganya. Secondly, we are reporting many positive cases because we have three times your capacity to do testing. In the last 24 hours alone, we've tested almost three hundred people. Do you even know how many your laboratory has tested in the last 24 hours? I can bet that you don't. Hao tisa ambao wamepatikana leo hawangejulikana wako na ugonjwa if we didn't do the testing na wangeendelea kuambukiza wengine zaidi
 
Ok sawa vp tuingie mzigoni basi au unaonaje
 
Yani nilicheka sana, kisha utaskia mtu anasema tanzania sekta ya afya balaa..

Yani sijakosea, wanavyoringia watu eti runa vitu vya afya sijui mia ngapi, kumbe ni magofu[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisiemu ilwaambia wako mbele in matters healthcare. What do you expect a tanganyikan to do after such heavy words from sisiemu? They have to sing along of course. Kwa ground vitu ni different 😂 😂
 
Back
Top Bottom