Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh hii COVID ina slow sana economic growth
.nmeangalia hyo video ..7k to be employed ni kiwanda kitacho turn around maisha ya wengi..plus those revenues 26mil € ...kwa mwaka..added to the economy..sio mchezo...Mungu atusaidies hii COVID iishe tu..kazi ziendelee

Plus NSSF and Other schemes..should try to do the same projects fast imagine having another
Industry- NSSF ina produce Nguo and all cotton products
Maybe LAPF wafocus kwenye - Assembly ya Tricycles and Motorbikes

And more and more
...ndo maana Magu hakutaka wajenge majengo instead viwanda


Sent using Jamii Forums mobile app
Magu ni very genius leader, nitaendelea kumuunga mkono regardless situation yyte ya kiuchumi ntakayo face, as long as anatekeleza bac mm nitaendelea kupiga kelele za kumuunga mkono, haya ndio mageuzi ya kiuchumi ambayo mabeberu na macapitalists uchwara from north wasingependa kuona
 
Kibera? 😂 😂 😂 View attachment 1402363
compare with your uswazi hovels zinazopatikana kushoto kulia
Umejitahidi kutumia image ambayo ni small scale paonekane padogo , tukiikuza kidogo tu it becomes the worst and largest
177_827948.jpg
 
Back
Top Bottom