Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mitaa za Nairobi zina miti nyingi sana. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Alisikika kilaza moja akisema View attachment 1402024View attachment 1402025View attachment 1402026View attachment 1402027View attachment 1402028View attachment 1402029
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
B58AC884-6BDB-41F6-8048-B31FE197BC13.jpeg
6AD708DD-BC71-4898-BF6F-4724CD7226A9.jpeg
141B5CCA-FEA0-4848-86EC-EA536F6377A6.jpeg
 
Siku hzi hawaji tena kuangalia wanyama wanakuja kuangalia makazi ya binaadamu yaliyopita maisha ya nguruwe
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
0A599B33-AA1F-4FD9-A073-1AE0E29FAE2A.jpeg
282B2ECE-BB80-405D-BE26-79744E47749A.jpeg
4821C143-7042-4541-97F4-2015BAFA725C.jpeg
 
Sio corona tu musisahau na hawaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Yani wamepiliza spray ya kuwakaribisha😁

 
Hilo ndio tatizo lenu
1)Kwasababu wanaume wanaolewa huko Marekani ambako ni developed kuliko Kenya, kwahiyo na ninyi wakenya mnaenda kuolewa.

2)Mbona wazungu hawana ukabila ninyi mnaendekeza ukabila?

3)Mbona wazungu hawana rushwa ninyi rushwa imewashinda?

Acheni kutoa sababu za kushindwa eti kwasababu wazungu wameshindwa. Sasa Tanzania tutawaonyesha kwamba tunaweza kufanya yaliyowashinda wazungu (Mungu wa Wakenya)

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku utaenda hko ndipo utaujua uhalisia wao, we jifungie bongo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom