Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe wewe ni masikini kiasi hicho?! Ksh 20k=Tzs 440,000. Hio mbona kodi ya kawaida sana Sinza,Kijitonyama,Mwenge,Tabata,Kimara na sehemu nyingine kama hizo?
Hahaaaa!!niite utakavyo ila ukwel mtanzania wa kawaida hawezani na kodi za nairobi..
Halafu nikuulize, maana ya more than ksh 20k ni nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nairobi covers an area of 696square kilometers, whereas Dar es salaamu covers an area of 1590square kilometers, sasa ebu tuchukulie tu kwamba Nairobi 600km square iko planned , then Dar tuchukulie ile size yooote ya Nairobi ambayo ni 696square kilometers kwa Dar haziko planned, so at the end tunabaki na 894 square kilometers Dar ziko planned. My point,!! unaweza sema Nairobi is more planned than Dar without considering all factors including city coverages
Akili za saint kayumba hzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wakenya wanazani Nairobi eti iko planned than Dar, but the reality Nairobi is very tin compared to the Might Dar es salaamu, sababu maeneo ambayo yako planned Nairobi hawawezi zidi Dar, lakini kwa sababu Dar ni kubwa sana kama sio mchunguzi sana itaichukulia simple
Tupia aerial view ya hayo maeneo tuyaone basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wakenya wako na pesa ya ku-rent rooms na kujenga kibanda zile za kibera...hakika umasikini uko nairobi

Nasikia kuna mwingine yuko proud ku-rent.. 🤣🤣🤣😂😂
 
Stop hiding from reality tell your people the truth.Your covid numbers are more than 13 Pole it’s dangerous disease stay home,no further comment on COVID going forward!
Kenya corona victims 42
Tanzania corona victims 13

Ukosefu wa maji jijini nairobi na ujinga wa viongozi wenu ni udhaifu unaotumiwa na kirusi cha corona,soon mtaanza kuona maajab
 
Back
Top Bottom