Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Uthiru slums
in second picture check huko nyuma ya huto tughorofa
Karanga prison shoe manufacturing plant
Heheheheheeee utawasikia wakisema kibera kibera kibera yn wanataka kutuaminisha kuwa slum ni kibera tuUthiru slums View attachment 1402647View attachment 1402648in second picture check huko nyuma ya huto tughorofa
Tutazipitia slums zooote zinazo izunguka CBD 😂😂😂Heheheheheeee utawasikia wakisema kibera kibera kibera yn wanataka kutuaminisha kuwa slum ni kibera tu
Mjinga huyoKikombe cha chai Kwa mama ntilie ni Shilingi kumi, ndazi moja ni Shilingi tano. Ndazi hata dukani unapata ya Shilingi tano. Piga hesabu yako sasa



Chai ni ksh10Kwa mama ntilie asubuhi a cup of tea ni tshs 200, andazi moja 100, so apo km mpo wawili mnaweza kupiga chai vikombe viwili na maandazi 6, hehehehee haya tuambie na ww hyo kshs 45 unakula nn cha maana![]()
Maneno ya mkosaji hauoMiti ipo ila sio forest km la naipori, eti mnaanza kujitetea hapa bila aibu kuwa mnatunza mazingira... wtf.
Mtazibomoa liniCan't you see that 98%ya hizo nyumba ni za zamani sana nearly 30+yrshata sikuwepo muda zinajengwa
![]()
Jangwani nyumba zote zimebomolewa imebaki viwanja empty👇👇👇👇
Uswazi ndio habari ya mjini dar, kila kona unazikutaKibera isn't the only slum in Nairobi, mnazo nyingi kupindukiasay that Kibera is so famous worldwide
![]()
Ksh 1000 per monthHapa dar chumba na sebure chenye umeme jip-sam na kivalanda unapata kwa bei ya tsh60000 = ksh3000 kwa mwezi chumba dar hadi tsh20000 = ksh1000 kwa mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app






![]()
![]()
![]()
. Dream house yako iko wapi kwenye hii mchanganyiko maalum? View attachment 1402277View attachment 1402281View attachment 1402284
Jangwani nyumba zote zimebomolewa imebaki viwanja empty
Riruta slums mbili za mwanzo wazungu wakitalii, ya tatu ni screen shot ya TecnoView attachment 1402659View attachment 1402660View attachment 1402664



unawaacha uchii ss wataanza kukuchukia huwa hawapendi ukweli hawa jamaa 


