Heheheheheeee hatari mzee wako na maisha ya kizamani sana yn yale ya Afrika ya kina Sese seko.
Hii hospitali ni kubwa si ya kitoto.
Usinikasirikie mm ni technology😂😂👇👇
Uthiru slumWw au mzungu nani anaakili😂😂👇👇View attachment 1402458
Kikombe cha chai Kwa mama ntilie ni Shilingi kumi, ndazi moja ni Shilingi tano. Ndazi hata dukani unapata ya Shilingi tano. Piga hesabu yako sasaKwa mama ntilie asubuhi a cup of tea ni tshs 200, andazi moja 100, so apo km mpo wawili mnaweza kupiga chai vikombe viwili na maandazi 6, hehehehee haya tuambie na ww hyo kshs 45 unakula nn cha maana![]()
Kati ya hizi mbili gani kubwa?Ila ni eneo jipya ckuwa nalijuakumbe kibera kubwa hivi
Nadhani hapa tunaongelea slums na co houses.Kati ya hizi mbili gani kubwa? View attachment 1402516View attachment 1402518
Ok sawa (km ni kweli) unapata two cups of tea na andazi 5 japo bado cc kwetu ni rahisi zaidi.Kikombe cha chai Kwa mama ntilie ni Shilingi kumi, ndazi moja ni Shilingi tano. Ndazi hata dukani unapata ya Shilingi tano. Piga hesabu yako sasa
ngoma imeroundUmejitahidi kutumia image ambayo ni small scale paonekane padogo , tukiikuza kidogo tu it becomes the worst and largestView attachment 1402409


in reality Hakuna haja ya kujiita mid incom kwani maisha yao ni ya kunguniShida ya hawa wanatakaga wawe juu hata kama hawajafika level hizo, ivi kweli kwa maisha ya hawa jamaa kuna haja ya kujiita middle-income country?![]()

Karanga prison shoe manufacturing plant
Haijaisha ebu tuletee Kayole na HurumaKati ya hizi mbili gani kubwa? View attachment 1402516View attachment 1402518
Muongeze na andazi mbili ashibe kabisa😂👇Haijaisha ebu tuletee Kayole na Huruma View attachment 1402618View attachment 1402620
Whereas the Ruai slum been spoken of 👇👇