Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
kumbe ni jitu flani Linguruwe pori




anaonyesha kabisa ana shida,,,, Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe ni jitu flani Linguruwe pori




anaonyesha kabisa ana shida,,,, First and foremost, this is not the post we were talking about. Hii post nilimquote Tuusan, not you. Secondly, that's just one picture that can't prove the rest are not Dar. Upangaji mji Dar still has a long way to go or even reach the level of Nairobi
kwa hiyo hadi moroco kuelekea city center wataitanua?Ndio bango la upanuzi Bagamoyo Road.
Sent from my iPhone using JamiiForums
sinimeuliza au kuulizwa ni kosa.. .Dalili ya maumivu kwa mtu anamiliki dream house mbele na nyuma![]()
![]()
![]()
Pole ndugu 😂 😂 😂sinimeuliza au kuulizwa ni kosa.. .
ujue we ni bonge la tajiri nskukubali zaidi ya demu wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hta ardhi ikawa ni million bado hicho kibanda hakimalizi ksh 3.5mHamna pesa sasa mnaishia kukaa kwenye izo apartment with petty excuses kua umejenga ushago...sisi hua tunajenga kila mahali tunapokua. ..unabisha kwakua hujui undani wa icho kibanda...nakiita kibanda kwasababu kiko simple tu...do you know ardhi ni bei gani? Material za ujenzi maana hakuna finishing Za kijinga hapo...
Siajabu huna hata uwezo wa kununua A.C. Alafu unapiga kelele
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo box ni bora kuliko hiyo dream house unayopenda na kuenziWataleta zile vipisi pisi zinazo cover sehemu ndogo ndogo 😂😂😂
Bila kusahau mabox ya kuhifadhia vile vifaranga vya nyama.
We huna tofauti na ndondochaI thought everybody owns a house in Dar?? Kumbe kunao na wanaokodisha hizo dream house? I kent!!
That's how 90% of Dar looks like so there's a chance that 90% of Dar residents live in those hovels, you includedKwahyo kwa akili yako mbovu hapo Ndio kila mkazi wa Dar anapoishi?tumia akili ndogo ulionayo sawasawa
Sent using Jamii Forums mobile app
We una uwezo wa kulipia rent nyumba km hyo nairobi, watanzania mna tabu kweli..
Itabidi wakenya tu andamane ili angalau wenzetu nao wapate unafuu kidogoHawa mabeberu si watu wazuri hata kidogo. Mbona wanaamua kujenga Kenya na kusahau Tanzania?![]()
![]()
Huo ni hujuma

Kukodi hyo ni lazima wakodi, manake wengine wamejenga kw ajili ya biasharaI thought everybody owns a house in Dar?? Kumbe kunao na wanaokodisha hizo dream house? I kent!!
Mabox yanayo momonyoka! hata mbwa wangu hawezi lala humo.Hiyo box ni bora kuliko hiyo dream house unayopenda na kuenzi
Kumbe wewe ni masikini kiasi hicho?! Ksh 20k=Tzs 440,000. Hio mbona kodi ya kawaida sana Sinza,Kijitonyama,Mwenge,Tabata,Kimara na sehemu nyingine kama hizo?We una uwezo wa kulipia rent nyumba km hyo nairobi, watanzania mna tabu kweli..
Ukiambiwa per month ni more than ksh20k hutoamini kisa mumeshazoea vyumba vya tsh25k hko kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
hao hawana akiliKumbe wewe ni masikini kiasi hicho?! Ksh 20k=Tzs 440,000. Hio mbona kodi ya kawaida sana Sinza,Kijitonyama,Mwenge,Tabata,Kimara na sehemu nyingine kama hizo?
Kwani hapo ni bondeni kama Jangwani?!