babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Zile lodge za buku tano vijijini 😂😂😂
Zile lodge za buku tano vijijini 😂😂😂
You will deny until you can deny no more. Uliza ichoboy, he was once just like you. Check the circled part in yellow and even the road patterns in those two pictures then uniambie kama sio Dar. You can run but you can't hide
Ukiwa na project kijijini unalipia mwezi kabisa 😂😂😂
First and foremost, I already said here a million times that's not me. Secondly, how do you know that building is a lodge even if it's me?



kweny kalodge ka ksh 50Nyumba ambayo mtu amejenga yake ya kuishi inafaa kumingizia hela tena? Wewe hiyo dream house yako ya Dar inakuingizia hela ngapi?Beautiful house inakuingizia nn iyo nyumba? Au ndio mazalia ya buibui mende na panya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hz picha cjawahi kuzikataa, nilizozikataa anajua alipozitoa jamaa yenu matrixx, pia hapo kinachozingua ni ujenzi holela ambao hata mm cufurahii, ni makosa ya Tz ile iliyolala co ya ss, pia makazi mengi hapo yamebomolewa kupisha ujenzi, lkn pia usisahau hakuna slum apo hata ukilia huwezi badili ukweli huo ndugu.You will deny until you can deny no more. Uliza ichoboy, he was once just like you. Check the circled part in yellow and even the road patterns in those two pictures then uniambie kama sio Dar. You can run but you can't hide View attachment 1400885View attachment 1400886
Eti hizi nyumba ni 4.5 million kujenga?? 😂 😂Hamna pesa sasa mnaishia kukaa kwenye izo apartment with petty excuses kua umejenga ushago...sisi hua tunajenga kila mahali tunapokua. ..unabisha kwakua hujui undani wa icho kibanda...nakiita kibanda kwasababu kiko simple tu...do you know ardhi ni bei gani? Material za ujenzi maana hakuna finishing Za kijinga hapo...
Siajabu huna hata uwezo wa kununua A.C. Alafu unapiga kelele
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kama haikuingizii hela sibora ufanye mambo ya msingi, Inaniingizia hela NdioNyumba ambayo mtu amejenga yake ya kuishi inafaa kumingizia hela tena? Wewe hiyo dream house yako ya Dar inakuingizia hela ngapi?
Kumbe ndio Nicxie? 😨
Unapata faida gani kujikataa, we huoni kwamba huyo ni ww?First and foremost, I already said here a million times that's not me. Secondly, how do you know that building is a lodge even if it's me?
Si nilikuambia 😂😂😂Unapata faida gani kujikataa, we huoni kwamba huyo ni ww?
Sema kakomaa sana halafu nywele zimeanzia katikati ya kichwa chake ndio maana ana ubishi wa kishamba,kweli aiysee nimecheka sn
Look at you now!! Sasa unakataa hadi maneno yako mwenyewe?!! This is what you said after I posted a picture of Dar ambayo ulikataa na kusema sio Dar. Acha kuingiza Matrixx kwa mambo haelewi. Look at what I posted and your responseHz picha cjawahi kuzikataa, nilizozikataa anajua alipozitoa jamaa yenu matrixx, pia hapo kinachozingua ni ujenzi holela ambao hata mm cufurahii, ni makosa ya Tz ile iliyolala co ya ss, pia makazi mengi hapo yamebomolewa kupisha ujenzi, lkn pia usisahau hakuna slum apo hata ukilia huwezi badili ukweli huo ndugu.
Sema kakomaa sana halafu nywele zimeanzia katikati ya kichwa chake ndio maana ana ubishi wa kishamba,
Halafu kama sio yeye ni nini kilimfanya aifute siku zile![]()









Hizo dream house mtu hulipa Shilingi ngapi rent? Hiyo hata elfu moja siwezi lipasasa kama haikuingizii hela sibora ufanye mambo ya msingi, Inaniingizia hela Ndio
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nitafute zile nlizozikataa co hzo ndugu, hzo c zimetajwa kabisa apo Vingunguti nakataaje ss,Look at you now!! Sasa unakataa hadi maneno yako mwenyewe?!! This is what you said after I posted a picture of Dar ambayo ulikataa na kusema sio Dar. Acha kuingiza Matrixx kwa mambo haelewi. Look at what I posted and your responseView attachment 1400910View attachment 1400911
I told you that you can run but you can't hide