Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,253
Msamehe tu, hawa vijana wengi wa kutoka kwa jirani unaokutana nao hapa wana hali mbaya ya maisha. Wanakuja kupunguza frustrations na loneliness tu hapa JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe ni masikini kiasi hicho?! Ksh 20k=Tzs 440,000. Hio mbona kodi ya kawaida sana Sinza,Kijitonyama,Mwenge,Tabata,Kimara na sehemu nyingine kama hizo?
Sent using Jamii Forums mobile app


