Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiwalani naijua vzr sn huwez kudanganya watu humu, kiwalani ya ss co ya 90s ni moja kati ya miji iliyofaidika mno na DMDP af kiwalani, ina mitaa pia haina nyumba zilizochoka km hzo labda unazungumzia kiwalani ya Mwinyi na co hii ya Magu ngj nkipata picha nkuletee hapa yn ina barabara za lami kila mtaa na taa za kisasa kabisa ngj nizipate picha nkunyamazishe, mnadhani hii ni Kenya
The guy isn't updated 😂😂😂😂chunguza post zake zote za picha, everything anachookota Google anatupia 😁😁mfano analeta na picha za madampo yana viroba vya rambo, hachunguzi ni za lini 😂😂😂
 
Yani kajumba cha room tatu nairobi mazee, hata kisumu pia utaishi kukajenga kondole..

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha we've seen alot iweje ziko za full bati /matope lakini somethimg smart like this iwe hoja? Nyie watu wajinga sana
Do you know kibanda kama hiki unahitaji kua na sio chini ya $45k kujenga?
images.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KIWALANI SLUMS DARSLUM:Ni kata mojawapo kati ya kata zilizopo katika wilaya ya Ilala katika mkoa wa DARSLUM.Wajinga ndio waliwao!View attachment 1400480View attachment 1400481View attachment 1400482View attachment 1400483View attachment 1400484View attachment 1400485View attachment 1400486View attachment 1400487Wak
Kwny hyo article wameandika barabara 12 walikosea ni barabara 14, na tayari zimeshajengwa na taa zake yn safi kabisa, cku nilipoenda nilishangaa sana kuona mji ule unavutia namna ile pia wamejengewa soko kubwa, yn kiwalani ipo vzr kwakweli ngj nizipate picha nkuwekee hapa, af iyo kiwalani cc huku tunaiita uswazi lkn ni balaa huwezi fananisha na mitaa iliyopo pembezoni mwa Nairobi
Screenshot_2020-03-27-11-05-13.jpeg
Screenshot_2020-03-27-10-50-39.jpeg
 
Haha we've seen alot iweje ziko za full bati /matope lakini somethimg smart like this iwe hoja? Nyie watu wajinga sana
Do you know kibanda kama hiki unahitaji kua na sio chini ya $45k kujenga?View attachment 1400673

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiboko yao ni kuwaambia tu kwmb icho kibanda ni chako ili wakome, ichoboy huwa anawapatia sn anatupia picha zake wanaanza kulia lia humu ooohhh unaonesha gari zako cjui me cwez kufanya hivyo, wao kazi yao kupost mali za wanaume wenzao humu
 
Post magari yako na wewe, hujakatazwa upo huru jomba hamana aliyekufunga minyororo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwalani naijua vzr sn huwez kudanganya watu humu, kiwalani ya ss co ya 90s ni moja kati ya miji iliyofaidika mno na DMDP af kiwalani, ina mitaa pia haina nyumba zilizochoka km hzo labda unazungumzia kiwalani ya Mwinyi na co hii ya Magu ngj nkipata picha nkuletee hapa yn ina barabara za lami kila mtaa na taa za kisasa kabisa ngj nizipate picha nkunyamazishe, mnadhani hii ni Kenya
Si useme tu mlibomoa zile nyumba za 90s..au pia kuna tatizo kusema hvo pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha masihara wewe, ksh 4.5m haishi kw kibanda km hicho jomba, especially hko bongo...nimekataa, ksh 4.5m inajenga mjengo zaidi ya huo hapo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna pesa sasa mnaishia kukaa kwenye izo apartment with petty excuses kua umejenga ushago...sisi hua tunajenga kila mahali tunapokua. ..unabisha kwakua hujui undani wa icho kibanda...nakiita kibanda kwasababu kiko simple tu...do you know ardhi ni bei gani? Material za ujenzi maana hakuna finishing Za kijinga hapo...

Siajabu huna hata uwezo wa kununua A.C. Alafu unapiga kelele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom