Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Marekani sasa yaongoza kwa wagonjwa wa corona
Screenshot_2020-03-27-09-22-35.jpeg
 
KIWALANI SLUMS DARSLUM:Ni kata mojawapo kati ya kata zilizopo katika wilaya ya Ilala katika mkoa wa DARSLUM.Wajinga ndio waliwao!View attachment 1400480View attachment 1400481View attachment 1400482View attachment 1400483View attachment 1400484View attachment 1400485View attachment 1400486View attachment 1400487Wak
Hivi kwenye slums kuna nyumba za blocks zimeezekwa kwa bati, barabara zilizopangika na Nguzo za umeme?. Pikipiki zinapita vizuri?

Hapo tatizo ni hiyo barabara haina lami Kwahiyo imejaa maji kutokana na mafuriko yanayoendelea. Hapo kila nyumba ina choo, umeme, na mfumo mzuri wa maji taka. Wacha kutapatapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwalani naijua vzr sn huwez kudanganya watu humu, kiwalani ya ss co ya 90s ni moja kati ya miji iliyofaidika mno na DMDP af kiwalani, ina mitaa pia haina nyumba zilizochoka km hzo labda unazungumzia kiwalani ya Mwinyi na co hii ya Magu ngj nkipata picha nkuletee hapa yn ina barabara za lami kila mtaa na taa za kisasa kabisa ngj nizipate picha nkunyamazishe, mnadhani hii ni Kenya
 
Hivi kwenye slums kuna nyumba za blocks zimeezekwa kwa bati, barabara zilizopangika na Nguzo za umeme?. Pikipiki zinapita vizuri?

Hapo tatizo ni hiyo barabara haina lami Kwahiyo imejaa maji kutokana na mafuriko yanayoendelea. Hapo kila nyumba ina choo, umeme, na mfumo mzuri wa maji taka. Wacha kutapatapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu co kiwalani hyo, hehehehee kagusa sehemu mby sn subiri tu ataaibika we ngj nipate picha za kiwalani
 
Kuhusu lami inategemea hizo picha alizopost ni za lini maana kwa namna lami zinavyo tandikwa kwenye mitaa ya Dar ni noma kwa sasa Yaani kazi nzuri imefanyika sana na inaendelea kufanyika
Ngoja ataaibika we subiri, hii ni Tz mpya Tz ya Magufuli mzee
 
Back
Top Bottom