Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Karibuni ila mczani km mtaichezea Tz ya Magufuli, mzee yupo smart mno, mczani km Mtakuja kuwa maagent kwny bandari yetu never ever
Kenya yajipanga kutumia bandari Tanzania
Screenshot_2020-03-26-01-55-20.jpeg
 
Mwanza to musoma 230km
Musoma to tarime. 85km
Mwanza to shinyanga 151km
Dar to tanga 330km
Moshi to arusha 80km
Tanga to horohoro 60km
Tanga to pangani 50km
Dar to bagamoyo 60km
Bagamoyo to msata 65km
Shinyaga to tabora 200km
Shinyanga to kahama 107km
Mwanza to geita 124km
Shinyanga to mwadui 54km

etc
Shy - mza - Musoma - tarime ni sehemu ya B6 inayoanzia makolongosi - rungwa - tbr - nzega - shy - mza - Musoma - tarime - sirari jumla km 1,071.
Nilichukua distance ya nzega - sirari ambayo Nina uhakika ina Rami but nimekumbuka tbr - nzega kuna rami km 117 nta_update hiyo.

Dar - tanga na tanga horohoro iko covered kwenye A7 na A14

Zilizobaki ntafanyia kazi then ntakuja na mrejesho, kuna barabara nyingi tu najua ntakuwa nimeziacha
 
Do you know how to read? This is 2019 and your paved roads ni 6000km
Shy - mza - Musoma - tarime ni sehemu ya B6 inayoanzia makolongosi - rungwa - tbr - nzega - shy - mza - Musoma - tarime - sirari jumla km 1,071.
Nilichukua distance ya nzega - sirari ambayo Nina uhakika ina Rami but nimekumbuka tbr - nzega kuna rami km 117 nta_update hiyo.

Dar - tanga na tanga horohoro iko covered kwenye A7 na A14

Zilizobaki ntafanyia kazi then ntakuja na mrejesho, kuna barabara nyingi tu najua ntakuwa nimeziacha
Screenshot_20200326-020536.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2019 report. Only madmen ndio wanaezapinga hii.View attachment 1399533

Sent using Jamii Forums mobile app
We mabomu ya machozi skia, Tanzania ilivyo kubwa hivi eti uniambie barabara zilizotiwa lami ni Km 6000!!!? mbona hata akilini haingii....

Mahesabu yaliyofanyika hapo ni barabara kuu za nchi which is zinaunganisha pia nchi jirani.....

Hujazungumzia zile barabara za mikoa, yaan kutoka mkoa mmoja hadi mwingine, bado tena za wilaya ndani ya mikoa hiyo, bado tena kwenye matarafa, kata na mitaa ( just imagine tuu)
Mfano Dar ambao ndo mkoa mdogo kwa eneo (size) Tanzania nzima, chukua vipande vya barabara zake akina Kawawa Road, Ali Hassan Mwinyi, Mandela, Kilwa, Sam Nujoma, Old Bagamoyo na vibarabara vyote mjini hapa, weka total....

Af imagine sasa mikoani huko vile vibarabara vya ndani ya mji af weka total si utakimbia mwenyewe....

Hizo zote combined ni 6,000km.

Usipoteze muda na huyo mlevi wa changaa,
Huwa yuko radhi apunguze namba mradi moyo wake usuuzike na kujifariji.
 
Karibuni ila mczani km mtaichezea Tz ya Magufuli, mzee yupo smart mno, mczani km Mtakuja kuwa maagent kwny bandari yetu never ever
Kenya yajipanga kutumia bandari TanzaniaView attachment 1399525

Hatutakiii komaeni na za kwenu kwanza, mnataka kufanya nini maana za kwenu tu bado mnadaiwa mje kufanya nini kwetu, the only thing mnaweza kuruhusiwa ni kupitisha mizigo tu km mtapata ila kupata uagent, au kuwekeza mtuache kwa sasa tumestuka, naskia General Tyres iko kwenu sio??

Sent from Gnet Phone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom