ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Wapi hawatumii umeme heheh😂😂😂
Wapi hawatumii umeme heheh😂😂😂
Uhehehe itafute ukipata tu google earth eka hapa mm nifunge account jamii forum unatuletea stori za chooni😂😂😂
yes nimeona😂😂😂👇👇👇👇
yes nimeona😂😂😂👇👇👇👇
Ukiangalia hii video kwenye hii tweet utaona yale majengo ambayo huwa wanayapiga picha vipande pande ili kuficha baadhi ya sehemu.
Quality roads umedunda mzee umepewa updated information umeanza kuhara ovyo😂😂😂 education gan mlionayo yakujenga magorofa yakuanguka ovyo alaf anasmama engineer anakwambia imeangushwa na upepo😂😂😂😂Not in reality in terms of what?
1.Paved Roads: Kenya 20,000km, Tanzania 8,000km.
2.Healthcare ranking in Africa: Kenya 3rd Tanzania sijui penye inapatikana.
3.Quality of Roads in Africa: Kenya 7th, Tanzania nowhere to be seen.
4.Best Education system in Africa: Kenya 7th, Tanzania 42nd.
5. Installed Electricity and connectivity: Kenya 2800MV, 75%. Tanzania 1600MW, 32%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka slum za dunia nenda nairobi hvi ww unafkiri mzungu ni mpumbavu kufkia hatua ya kutaka kibera ipewe hadhi ya national park 😂😂😂😃👇👇👇Heheee slum gani tena mbona jina jipya 😂😂😂
Weweee... uswazi wanatumia gesi na tena kuna wenine wanatumia hadi plate mbili. Pita manzese, tandale na kwenginepo uone vimtungi vya gesi kila kona na wanatumia hadi kwenye migahawa na mabanda ya chipsi
Jamaa wanalipia umeme hao na gesi juu, mwhyo mtanzania wa kawaida maisha hayo hayawezi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ask Tundu Lisu which country has better healthcare system atajujibu.Quality roads umedunda mzee umepewa updated information umeanza kuhara ovyoeducation gan mlionayo yakujenga magorofa yakuanguka ovyo alaf anasmama engineer anakwambia imeangushwa na upepo
health care hua munakuja kufanya nn tanzania mamaeee hakuna huduma ya afya mbovu kama kenya am telling u![]()
we wakuja tu mruga ruga huna loloteWakuja
Naona umeshindwa na mada
Nimezaliwa mjini, nikasomea mjini, nikapata kazi mjini..
Dingi ndio kafanikiwa kufanya investiments kote kote(mjini na kijijini), miaka yote hyo kila likizo lazima atupeleke kwetu na kilugha tunakijua..
So usilinganishe maisha ya wakenya na watanzia...
Dingi sai hata anamahisabu ya kurudi home akapumzike kitu km after five to ten years Mungu akimuweka hai na mzima..
Sent using Jamii Forums mobile app





We ni mpuuzi mm sijapata ona ingekua mudavadi kapigwa risasi kenya angetibiwa hapo 😀😀 na kwann alipelekwa europe hujiulizi maswali😁😁😁😁😁Ask Tundu Lisu which country has better healthcare system atajujibu.
Ask Rose Muhando she knows which country has better healthcare system.
Ask World Heath Organization, watakuambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu niletee official source ya WHO wakisema kenya ina better health care ukipata tag me nigunge account jamii forum😂😂😂😂Ask Tundu Lisu which country has better healthcare system atajujibu.
Ask Rose Muhando she knows which country has better healthcare system.
Ask World Heath Organization, watakuambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
wakenya kweli ni mbuzi,,,,yaani umeme mkubwa umekatiza nao wamekomaavkujenga vibanda vyao hapo hapo...Heheee slum gani tena mbona jina jipya![]()




hiyo kweli death challangeKwa ground mambo ni tofauti sana.Thank God for how we Tanzanians live.
Kweli Kenya kulikua overrated sana, kwa grounds things are worst, sasa hapo bado slums nyingine 😕
County nzima ya Taita Taveta huvuka boda kutafuta huduma bora za afya Tanzania.We ni mpuuzi mm sijapata ona ingekua mudavadi kapigwa risasi kenya angetibiwa hapo 😀😀 na kwann alipelekwa europe hujiulizi maswali😁😁😁😁😁
Ilete ile video ajionee ndugu zake wakilalamika😂😂😂😂😂😂County nzima ya Taita Taveta huvuka boda kutafuta huduma bora za afya Tanzania.
Paved road kenya 18000kmNot in reality in terms of what?
1.Paved Roads: Kenya 20,000km, Tanzania 8,000km.
2.Healthcare ranking in Africa: Kenya 3rd Tanzania sijui penye inapatikana.
3.Quality of Roads in Africa: Kenya 7th, Tanzania nowhere to be seen.
4.Best Education system in Africa: Kenya 7th, Tanzania 42nd.
5. Installed Electricity and connectivity: Kenya 2800MV, 75%. Tanzania 1600MW, 32%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo pia ajue tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya hio aeke akilini😂😂😂😂Paved road kenya 18000km
Tanzania 14000km ujinga unaupenda sana nakuona...
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ni bati after bati.wakenya kweli ni mbuzi,,,,yaani umeme mkubwa umekatiza nao wamekomaavkujenga vibanda vyao hapo hapo...hiyo kweli death challange
Sent using Jamii Forums mobile app
Road network kenya ni kubwa,yetu sio kubwa...nchi kua kubwa sio tatizo mkaliNa hapo pia ajue tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya hio aeke akilini![]()