Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hyo ni kawaida nchi yoyote inaweza kuamua kuwa hivyo hata huku huwez jua wanaweza kuamua hvyo cku moja
But as things stand, you have a lower grading system than ours. That was the basis of this conversation. Until those "changes" happen, you should respect your elders 😂 😂 😂
 
In that their screenshot wanajidanganya na hile C+ ya minimum grade to do diploma in Medicine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga ww hebu tuambie ww hzo principal passes za advance zinazohitajika hapo ni zp na hyo subsidiary ya physics inayotakiwa ni ipi, we unazani watu vilaza humu ndani
tapatalk_1582278835723.jpeg
 
I have given you two reasons why people fail but you have decided to go with the second one. According to me nikikuangalia tu vizuri I think you fall in the first category.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishaeleweka ndiyo maana nikaja kukutumbua kwenye maelezo yako ya mwisho unayodai kuwa wanafail sababu ya kukosa proper knowledge ndiyo maana huwa wanakuja huko....

Hayo ni mapang'ang'a yako mzee hivyo nimekujibu kulingana na ulichokitype

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What JKUAT is advertising is Diploma and advance study in Medicine. As you can see degree is the first Roman and it's parallel. For direct students you can't do medicine with B+.
Acha ujinga ww hebu tuambie ww hzo principal passes za advance zinazohitajika hapo ni zp na hyo subsidiary ya physics inayotakiwa ni ipi, we unazani watu vilaza humu ndani View attachment 1364802

What you have to know a stupid person will forever fail no matter the school and country.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why do you think that everyone should pass or fail? That's not the way nature dictates things. We must have failures and overcomers amongst us, everything constant. Even in the most difficult of environments, there are those who succeed even as the majority fail
Rudi juu kisha angalia nilipo quote kwa mwenzako ujue alizungumza nini baada ya kunipa point mbili nzuri ...

Utajua ni kwanini nilimjibu hivyo...

Alienda vizuri kwa point mwisho wa point akavurunda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga ww hebu tuambie ww hzo principal passes za advance zinazohitajika hapo ni zp na hyo subsidiary ya physics inayotakiwa ni ipi, we unazani watu vilaza humu ndani View attachment 1364802
Do you what "advance" is?
What they mean is that for you to do medicine in their institution you past have passed basic medical knowledge from your previous study for example you must pass your certificate cause in Medicine for you to advance to diploma level. The same happens when you want to do the degree level, you must have pass the diploma level in order to advance to degree level. Do you know what that means? It means longer time studying.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What JKUAT is advertising is Diploma and advance study in Medicine. As you can see degree is the first Roman and it's parallel. For direct students you can't do medicine with B+.

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nmeamini we jamaa ni mjinga by nature hata km kweli umesoma basi hyo elimu yako haijakusaidia, msomi yeyote duniani sifa yake moja huwa anakubali ukweli ata kama itamuuma vp ss ww ni msomi wa wapi wewe? Yn unataka kutuaminisha kuwa hyo roman ii ni cfa za kuingia diploma kweli?
Screenshot_2020-02-21-13-10-25.jpeg
 
Back
Top Bottom