Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
umempa msumeno wa swali zuri sana.......Nani kakudanganya kuwa watu hawajengi vijijini?
na akae akijua kuna watu kuanzia babu zao wamezaliwa town kivipi wakajenge kijijini wakati baba zao walishajenga...
nakingine watu huku wanajenga kote kote wakenya ni washamba sana


Sent using Jamii Forums mobile app