Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni lini utaanza kuelewa hata kizungu rahisi kama hizi? That center will cater for the whole of Africa, Kenya is just a host nation. China is building it for Africa, not Kenya. Uko na tabu Sana Mr. Geography
Soma comments kenge wewe unafkiri mm nacheka nini😂😂😂😂😂
 
Kuna mjinga alikua akisema nyuma ya jengo Hilo kuna nini hebu arudie😂😂👇👇👇
3C227BB9-F6DD-4E0A-87DD-73BA46E89031.jpeg
 
sema hili janga la Corona.. Tanzania inabidi tuwe wajanja, tusifunge mipaka, biashara au airport kisa wengine wanafunga .. hii itasaidia biashara kuwepo kama kawaida hivyo kuendelea kuboost uchumi.. mim naamin Tanzania tuna advantage kubwa ya corona kutokuspread kwa kiwango kikubwa kwasababu ya joto.. weng wenye corona wametokea nje ya nchi na ndio haohao tu wamethibitishwa wana corona.. wazo langu kubwa ni tusifunge mipaka kisa wengine wamefunga.. but all in all tujiadhari mipakan na airport hasahasa mikoan yenye baridi kama kilimanjaro na mbeya au mwanza
 
Back
Top Bottom