Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
[emoji23][emoji23] I thought geza was the stupidest amongst y'allsema hili janga la Corona.. Tanzania inabidi tuwe wajanja, tusifunge mipaka, biashara au airport kisa wengine wanafunga .. hii itasaidia biashara kuwepo kama kawaida hivyo kuendelea kuboost uchumi.. mim naamin Tanzania tuna advantage kubwa ya corona kutokuspread kwa kiwango kikubwa kwasababu ya joto.. weng wenye corona wametokea nje ya nchi na ndio haohao tu wamethibitishwa wana corona.. wazo langu kubwa ni tusifunge mipaka kisa wengine wamefunga.. but all in all tujiadhari mipakan na airport hasahasa mikoan yenye baridi kama kilimanjaro na mbeya au mwanza
Sent using Jamii Forums mobile app