The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hehehehee humu tunafatiliana mkuu ukirudia rudia pcha tunajua na tunakusanua, mana co tu unatujazia server bali pia unatuletea usumbufu kwa macho.Izaa mkuu uzi una picha nyingi mno ni ngumu kujua gani inarudiwa
Rise and fall of kenya SGR day dreams
No streetlights and this is their main roadLook at this road,no street lights, poor lcd


Chang'aa iko kichwani huku rumba la jobless likimkabili unadhani angetoa jibu gani zaidi kutoa pumbaNiliona ndio maana nikamuuliza serikali ya nchi gani,
Hajanijibu zaidi ya kuandika ujinga kama kawaida yao.
You cannot afford changaa my friend. A tot goes for kes 100Chang'aa iko kichwani huku rumba la jobless likimkabili unadhani angetoa jibu gani zaidi kutoa pumba


hio barabara ndo hii.. ipo under construction View attachment 1388804
mwenye ya upande wa kuelekea mwenge ampostie aone ujenz
Kazi nzuri sana ...
Wekeni barabara streetlights mji wenu mkuu uache kupitwa na vijiji vya Kenyahio barabara ndo hii.. ipo under construction View attachment 1388804
mwenye ya upande wa kuelekea mwenge ampostie aone ujenz
Sema hiki kipande cha Victoria ni lit sana....