mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Sio Mimi nimeandika hii ripoti bali ni Serikali yenu...Unataka kuipinga Serikali yako? 😂😂comment yangu umeiona ila hio ya chini hujaiona, sio?
Sio Mimi nimeandika hii ripoti bali ni Serikali yenu...Unataka kuipinga Serikali yako? 😂😂comment yangu umeiona ila hio ya chini hujaiona, sio?
Ni kweli bro wanafaa kupimwa. Serikali yenu iliandika so kina Magu na wenzake wakapimwe akili 😂😂😂View attachment 1387497
Aliye andika hii apimwe akili hata kama ni hila this is too much, revernue ya TPA vs KRA ni ngapi this month?
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Serikali ya nchi gani?Sio Mimi nimeandika hii ripoti bali ni Serikali yenu...Unataka kuipinga Serikali yako? 😂😂
View attachment 1387742
Watafuna Albino 😂😂Serikali ya nchi gani?
Ni kweli bro wanafaa kupimwa. Serikali yenu iliandika so kina Magu na wenzake wakapimwe akili![]()
wewe kenge kweli...Unashindwa kujua kua iyo article ya Uganda...😂😂😂😂Sio Mimi nimeandika hii ripoti bali ni Serikali yenu...Unataka kuipinga Serikali yako? 😂😂
View attachment 1387742
Uyu jamaa hajawai kuwa na akili....Ndo maana yuko jobless...We mzima?? Sie ni uganda?
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Watafuna Albino 😂😂
Niliona ndio maana nikamuuliza serikali ya nchi gani,wewe kenge kweli...Unashindwa kujua kua iyo article ya Uganda...😂😂😂😂
We mzima?? Sie ni uganda?
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Hiyo nyani aijui hata nembo za tz ?Watafuna Albino![]()
Ukisikia stupid monkey ndiyo mwaswastwewe kenge kweli...Unashindwa kujua kua iyo article ya Uganda...![]()
We mzima?? Sie ni uganda?
Sent from Gnet Phone using JamiiForums



Mnakubaliana na wenzenu ama Hawa pia wslipika takwimu wakiipendelea Kenya?
Huyu mzee ni game changerYani Kenya itasubr sn kwa Tz na ndiyo maana nampongeza sana Magu aliliona hili kwmb kwa ss tufanye miradi yny ROI ya fasta majengo kwnz tupotezee, na km angetaka cfa za majengo hz pesa za hii miradi ange invest kwny majengo czani km kuna paka yeyote angekatiza pua yake, ila Magu mjanja kachanga karata kaona kwnz infrastructures zen majengo yatakuja yenyewetu yatake yasitake, Magu is very Genius prezdaa
That why wanasema jiwe ni diktektaTunawakaba kila kona maamaee nowadays tumeamua kuwa na roho mby km wao.
Tanga itakua mwiba wa Mombasa mm niliwaambia hawa watu wasubiri waone miujiza![]()
Wakenya hawapendi kuckia habari za U/C wanasema vitaisha lini
Jibu lake ni kwamba tukianza kuzindua tutawaita kuhudhuria mana mwaka mzima tutakuwa tunazindua, so kila mkenya atapata nafasi ya kuja Tz![]()