Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_20200315_215910_508.jpg

Dar es Salaam yangu, Kabla ya Skyline kabla ya pantoni.Nani ana jeuri ya kusema kwamba hatujasonga mbele.Bado naendelea kusadiki kuwa kuna maendeleo makubwa zaidi yaendelea kuja.The Might Dar.😍😍😍
 
Wekeni barabara streetlights mji wenu mkuu uache kupitwa na vijiji vya Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
ujinga utamaliza kichwa yako, streetlights huku Tanzania zpo mpk uswazi huko kiwalani, machimbo, mwisho wa lami, n.k ndo zitakosa hapo, tena nikwambie tu hio mitaa nliyokutajia ina mikeka mikali yn mpk barazani kwny nyumba, Nairobi haifikii hata kdg yn cku nkipata nafac ntakupigia picha uone, nguvu ya dmdp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom