Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ES_8g-tXsAQbnuM.jpg
ES_8g-qXsAIqC92.jpg
ES_8g-uWsAAJksL.jpg
 
Huyu mzee ni game changer
Na kuhamia dodoma ni sawa na timu yamasnipers kujiposition on top of a tower.
Pia najiuliza hapa Dar tu wafanyabiashara na waajiriwa wanajaribu kufanya kilimo huko pwani, je itakuaje kwa dodoma yenye eneo kubwa + mikoa iliyopakana nayo?
Vipi kuhusu other opportunities? I believe there are so many of them to choose from compared to DSM. May the God give him more chances.
But, Pia najaribu kuimajine jinsi raisi atakaekuja baada ya magu atakavyokuna kichwa akitafuta kitu cha kuwafanyia waTZ ambao watakua wameshazoea ladha ya bullet trains, cheap eletricity, imroved health system, education, flyovers, bus stations na mengineyo. Ukitafakari hayo yote unagundua Magu atakua foundation ya mambo makubwa yajayo kuliko tunavyoona. Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki J.P. Magufuli
 
Umesema kweli kabisa. Dodoma inatakiwa iongezewe fursa pia. Kama Kigali wanavyotaka iwe "Singapore ya Afrika" na pia Dodoma serikali ifanye hivyo. Wakijenga vivutio, international flights zitazidi kuwa nyingi kwenda Dodoma na watu watataka wainvest kwenye construction, health, infrastructure and many other areas. Dodoma inapaswa iwe zaidi hata ya Dar kuleta balance fulani hivi.
 
Kabisa
 
Back
Top Bottom