Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna chi moja hapa inaovertake wengine kwa kasi kwelikweli ilhali barabara nyingi now zipo under construction & nyingine ndo zimetengewa budget:
World-Roads.png

World-Roads2.png

World-Roads3.png

Hints: *Kuna wengine watajigamba kwa kuwa mbele alphabetically
 
as long as Magu ni Rais, barabara bado zitaendelea kujengwa kwa speed ileile. Jamaa anapenda sana kujenga barabara. Nadhan it’s the first priority yake kwenye utawala wake

Walimbania wakati waziri wa Ujenzi . Imagine unakua na mipango halafu wajuu hawaachii mtonyo, Sasa anamalizia mipango yake yote. Na mimi naunga mkono. Amalize kila kitu alichotaka kufanya wakati akiwa waziri wa Ujenzi.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimetoka Dodoma leo, sijaenda tangu mwezi wa sita Mwaka Jana, pamebadiliaka you won't believe
Na kuhamia dodoma ni sawa na timu yamasnipers kujiposition on top of a tower.
Pia najiuliza hapa Dar tu wafanyabiashara na waajiriwa wanajaribu kufanya kilimo huko pwani, je itakuaje kwa dodoma yenye eneo kubwa + mikoa iliyopakana nayo?
Vipi kuhusu other opportunities? I believe there are so many of them to choose from compared to DSM. May the God give him more chances.
But, Pia najaribu kuimajine jinsi raisi atakaekuja baada ya magu atakavyokuna kichwa akitafuta kitu cha kuwafanyia waTZ ambao watakua wameshazoea ladha ya bullet trains, cheap eletricity, imroved health system, education, flyovers, bus stations na mengineyo. Ukitafakari hayo yote unagundua Magu atakua foundation ya mambo makubwa yajayo kuliko tunavyoona. Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki J.P. Magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom