Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Mwambie aliyeileta atoe source tuone kenge aliyeiandikaView attachment 1387497
Aliye andika hii apimwe akili hata kama ni hila this is too much, revernue ya TPA vs KRA ni ngapi this month?
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Soma utaelewa mkuuumepost nn hapa bashwee??
believe me hata kama wangekuwa wamejenga ya umeme Jubilee mwisho 2022 kwa jinsi mambo yanavyoenda sasa! Huwa wana vyama vya misimu!reli yetu ikizinduliwa.. chama cha akina Uhuru Kenyatta hakitashinda uchaguzi 2022.. mana ndo chama kilichowaletea gari moshi![]()
walioandika ripoti hii wengi hawapo tena madarakani maana kuna kashfa ya ku-inflate cost iliwaondoa!
Tuko pamoja🤣🤣🤣👇👇👇🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Yani bado mnajishuku shuku tu, si mjiamini jombaMunauliza nyumba za millionaresohh Mombasa kuna millionares wengi kuliko dar ile nyimbo imeisha
![]()
Kweli ni hela ndefu..na mimi sikuona kama ni project ya muhimu sana kwa sasa..ila its okay haina shida ...ningetamani hio hela iende kwenye SgR yote mambo yaishe mapema ila ni vizuri kuwa na miundo mbinu mingi kwa wakati..na pia ndo hufanya miji ikue...plus dodoma inakuwa center ya pili na sio ku overdepend DarYani mzee iyo hela bado ni ndefu. ..labda kama wanajenga na barabara ya kibabe kutoka airport kwenda mjini....B760 mkuu ni hela ndefu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
hii maneno ndo maana Mchina akagoma kutoa mkopo maana uongo mwingi!
Amehepa 😂😂😂comment yangu umeiona ila hio ya chini hujaiona, sio?
Sija soma ila kama jkia ni Kenya hapo umechemka Kenya ufisadi unaharibu value of money hivyo Kenya isiwe kielelezo chetu watzBuilding a runway from the scratch costs a lot!
JKIA’s Sh37 billion runway project now hangs in the balance
ila runway ya international standards ina gharama mzee! Usichukulie poa angalia runway ya Songwe airport imebidi ibanduliwe na kampuni kushitakiwa! Ila Watanzania nasi ni wabishi yaani international airport ya capacity ya PAX 1.5 mln kwa $272 mln to be built from scratch with runway 3.8 km long n fully equipped tunaona ghali? Nipeni mfano wa international airport iliyo bei ya chini!Sija soma ila kama jkia ni Kenya hapo umechemka Kenya ufisadi unaharibu value of money hivyo Kenya isiwe kielelezo chetu watz
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe ishu ya corona kenya ilikuwa fake! waliforge ili wapate hela
Safi sana mzeeJamaa wametengeneza comparison reports za kimagumashi ili tu kujustify their grand graft schemes. Sasa ukiita hio waliojenga ni Chinese Class 1 je ile Shanghai - Beijing line itakua ni Class gani?
SGR ya TZ sio AREMA specs per se but rather ni hybrid ya AREMA na western European specs. Ndio maana hata contractual modality yetu ni design and build, I will tell you why, see below:
The AREMA specs are charcterised of heavy grades and sharp curves optmised for low-speed, low-cost, long distance heavy cargo transport ideal for the continental American geographical landscape. The priority is cargo over passenger transportation. This is because most American industrial and mining activities are in the hinterlands, while most of major high density population centers are located far apart.
The EU railway codes are charcterised by very smooth tangential curves almost straight lines optinised for high speed, passenger transportation, this is due to the fact that most high density European population centers are within short distances.
Now, the TZ SGR is carefully designed taking the best from both worlds:
Taking the AREMA's heavy cargo advantage due to the very same reasons as Americans that TZ territory is vast, heavy rail to serve the hinterlands plus neighbors where the majority of mining, agricultural and the future Industrial base are located.
Taking the western European's high speed advantage due to the very same reasons as the Europeans that TZ is a populous country with major high density centers not so far wide apart. This is why the TZ SGR do not have sharp tangential curves and it can reach above 160 km/hr.
Taking the latest European rail safety approaches by adopting the following:
- the signaling and control standards called ETCS-2.
-the latest European traffic management starndard called ERTMS.
It is worth to note that the ETCS standard can only be used in a continuous welded railway, forget about it if your truck is not continuous🙂
To put a cherry on top, TZ SGR is electrified, no environmental pollution za Gari moshi🙂
I think I have summarised well enough why TZ opted for the design and build approach to make our SGR the best in the region.
On a lighter note, nilikutana ktk shughuli Beijing nikakutana na jamaa wa CRBC waliowaingiza mjini jirani wa China Class 1, wacha wamlalamikie JPM kwa kuwabania ulaji wa SGR ya TZ, kumbe walikuwa tayari wameshaweka mambo sawa kipindi cha JK, tungepigwa kisawasawa... At least M7 ameshtuka mapema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni ripoti ya GOT lakini juu kushinda IA Mambo ya Jirani, ya kwenu yanawapita.View attachment 1387497
Aliye andika hii apimwe akili hata kama ni hila this is too much, revernue ya TPA vs KRA ni ngapi this month?
Sent from Gnet Phone using JamiiForums