Punguza jazba kijana, mbona unataka kubishana na kila mtu hata wa kutoka huko kwenu....Hawa wameweka maneno bila matendo Yani picha ziko wapi za barabara wanazozungumzia? Hebu weka zako tupate kuahakikisga ni kweli.
Weka picha bro wacha kuhepa mada.Punguza jazba kijana, mbona unataka kubishana na kila mtu hata wa kutoka huko kwenu....
The rock cityTuonyeshe kama hiyo nje ya Dar
Nimeisoma hiyo habari, Maximo anataka kuchukua credit kuwa naye alimwezesha.
Ok bac tafuta kenya nzma ukipata muoneshe ili ajue kwamba km Tz ni baba lao bac kenya ni mama lao af usisahau kunitag mm km mshenga waoHow do you expect Nairobi to have a bridge?


CBK Pension
Render vs Actual building
View attachment 1374170View attachment 1374171
Sent using Jamii Forums mobile app


Halafu Kamwele kasema mbali ya Tshs 170 bln worthy of Tanga channel dredging to allow easy accessibility of Tanga port by large ships, a construction of another terminal is to be launched. All these r projects outside the oil n gas terminal for Uganda pipeline at Chongoleani! BTW Tanga airport is current under expansion!Tunawakaba kila kona maamaee nowadays tumeamua kuwa na roho mby km wao.
Tanga itakua mwiba wa Mombasa mm niliwaambia hawa watu wasubiri waone miujiza😁😁😁😁Halafu Kamwele kasema mbali na dredging ya Tshs 170 bln Tanga channel to make Tanga port accessible construction of another terminal is to be launched. All these r projects outside the oil n gas terminal for Uganda pipeline at Chongoleani! BTW Tanga airport is current under expansion!