Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na wakenya wengi hawafahamu purchasing power ya pesa yetu
Wanajua sn sema wanajitia uchizi humu, hatuwezi kufanana, cc ni bora zaidi yao tatzo letu lilikuwa moja tu, nalo ni kujitangaza na ndiyo maana ilifika mahala tukaitwa nchi ya giza yn ina kila kitu lkn haijulikani wkt kenya hawana chochote kutuzid ila walikuwa wanajitangaza na hvyo hvyo vivutio ushuzi walivyo navyo, jana nilifurahi sana kuiona bendera ya Tanzania ndani ya Wembley ikiwa imebebwa na wazungu
 
Hapa kazi tu 😂😂😂
 
Yaani treni za umeme zikae meza moja na mitungi ya changaa 😂😂😂
Huyu mjinga kweli.
Sote tunajua hamna treni za umeme zinafanya kazi Tz hats vichwa vyenyewe tumeona hivi
Screenshot_20200302-105450.png
 
Mkuu umeamua kuwalipua hawa wehu, wataanza kukuchukia km ichoboy
LOL ukweli lazima usemwe tu japo mchungu 😆😆😆

Utashangaa watu wanaoishi maisha kama haya Nairobi mzima eti wanatonyooshea vidole sisi 😆😆😆 yaani ni sawa maiti imcheke mwenye mafua

Kenya failed totally on planning na hizi slums sio Nairobi tu, miji yao yote ina slums za kutisha pengine hata zaidi ya Nairobi 😭😭😭
 
Ss mdude km huu una tija gn km co misuse of tax payers fund, eti ina protect watu na hazards zinazoweza kuletwa na maporomoko ya miamba kutoka mlimani huo mlima uko wapi, acheni mbwembwe tumieni pesa za walipa kodi vzr ku curb problems like hunger co kuwaza kupiga tu, I guess this was typically another form of white elephant project.View attachment 1374132View attachment 1374133View attachment 1374134
Km mnabisha leteni thamani ya huu mradi ilivyokuwa then tuone km value for money ilizingatiwa hapa
Wakenya wanajenga upumbaavu mtupu bora hizo Pesa wangejengea toilet kibera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sote tunajua hamna treni za umeme zinafanya kazi Tz hats vichwa vyenyewe tumeona hiviView attachment 1374348
Kumbe unafahamu kabisa kuwa hiyo ni treni ya majaribio, ona hapo umeandika "sgr Tz test" 😂😂😂
Mtungi wenu wa changaa itakaa meza moja na hii

Ila haiwezi kukaa meza moja na treni ya umeme.
 
Hapo mkenya na Mke na Watoto wake wanajiona wanamiliki makazi!!! Hivi unatongoza Demu unampeleka kabisa sehemu kama hiyo na huyo Demu anakubali,kweli mademu wa Kenya is low quality

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom