Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hyo report imewahi sn kuja, mm nilitaka ichelewe kdg mpk joka lije liwachezee siri zao af ndo report ije, but co mby wkt wakijiuliza inakuwaje wapitwe idadi ya wenye mbumba, joka hili apa na ndpo watakapo logout jf na wataichukia sn
Ripoti imewapea sleepless 😂😂😂
 
anaendesha hili gari atakuwa mwasiti akili zake anazijua mwenyewe


Kwa hiyo Mwasiti hapo akifanikiwa kula kona atahitaji makopo kadhaa ya rangi na anakua na Ndinga, Ila kwa uendeshaji huo nadhani anajua kusukuma gear moja tu , yaani anaendesha gari anapitwa na mtu anayekimbia, halafu gari lenyewe Kaiba, tena kaibia police


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mwenyewe hata siielewi.. lbda kwa juu kuna platform itawekwa.

itafsiri hizi picha
View attachment 1384150View attachment 1384151
Hapo chini huo kama ukuta mweupe ni treni na kuna paa pia juu ya groundfloor platform na ndo maana inafanana na iliyo juu ya viaduct ila naona kutakuwa na lift na escalator za nje pia zaidi ya kuingilia kupitia jengo na kuvuka na air bridge kuifikia platform!
 
Hio ndio green city under the sun wakija hapa nye nye nye wakiletwa kwenye ground wanalia🤣🤣👇CBD


IMG_20200311_164435.jpg
IMG_20200311_164441.jpg
IMG_20200311_164439.jpg

IMG_20200311_164705.jpg
IMG_20200311_164711.jpg
 
Wazee wa expectations lakini mambo kwa ground ushuzi si hata BRT muli expect iko wapi🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe expected 😁😁😁😁 bado muna ndoto wakat uhalisia huu hapa🤣🤣🤣👇👇👇👇
View attachment 1382666
Khaaaa yan Tanzania tuna millionaire mara 4 zaidi ya kenya!!!!...kweli uhalisia hauongopi
 
Mada ya millionaires is neither here nor there. Knight and Frank stated that Kenya had 8,300 dollar millionaires in 2018 and was the third in Africa after SA, Egypt and Nigeria. How that number has dropped by 6,000 people in just over one year only them can explain
"And was the third in africa after SA,Egypt and nigeria"
Unajielewa kweli wewe au ndo umechanganyikiwa kusikia ina matajiri mara 4 zaidi ya kenya!😂
 
Back
Top Bottom