Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Hili jengo ni 'tunu', linatakiwa litumike kama mfano halisi wa kuelewa nini maana ya plastic deformation.
Hili jengo ni 'tunu', linatakiwa litumike kama mfano halisi wa kuelewa nini maana ya plastic deformation.
no one can beat you when it comes to slums championshipUnamanisha hao mamillionaire huishi kwenye slums?
Note, this stats is for the whole Kenya not Nairobi only View attachment 1383682
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁😁👇👇👇👇👇Unamanisha hao mamillionaire huishi kwenye slums?View attachment 1383682
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni malori hua wanajazana humo wao pamoja na mifugo😁😁😁😁😁
Kuona haoni na kupapasa hawezi😁😁😁😁Umeingia choo chaa kike Anko... Ana hela huyo ohooo labda ungemwotea mwingine, huyo anazo atakuzima sasa hivi...
Sent using Jamii Forums mobile app
unakuwa kama mtoto mkuu alitumia link inayohusu tz vibaya kaleta kakosea sasa unazidi kungangania kitu kimoja mwezi unaisha afu mtu mzima kwani ulivosema kwamba link n ya drugs akanyamaza inatosha kuonesha kaelewa ivo topic iishe tumove on sasa kila baada ya comment mbili tatu ushaiongelea io post afu hata kuwa center ya drugs n profit maana dawa inapesa sio kitoto sio kwamba nakupinga ila haina ladha kila dakika unaongelea kitu kile kile mwisho wa siku utakosa muda wa kuingia kwenye list za mamilionaireHii thread haijanisaidia kujua lolote kuhusu Tanzania nchi ya viwonder. I already knew that Tanzania is an LDC with a lower per capita income than Kenya even before this thread was created. The only thing this thread has perhaps taught me is that there are people who can't comprehend simple English and would end up posting links they do not understand their content and still shout about it
Unajua kwann wanaongelea HVO kwasababu wamekamatika hawana namna 😁😁😁😁😁 sasa wanajaribu kuzuga ili mada ya millionares ipotee lakini haitapotea na misumari tutapigilia na ajiandae bomu lake la BRT linakuja nitamyoosha huyo nyie subirieni mujioneeeunakuwa kama mtoto mkuu alitumia link inayohusu tz vibaya kaleta kakosea sasa unazidi kungangania kitu kimoja mwezi unaisha afu mtu mzima kwani ulivosema kwamba link n ya drugs akanyamaza inatosha kuonesha kaelewa ivo topic iishe tumove on sasa kila baada ya comment mbili tatu ushaiongelea io post afu hata kuwa center ya drugs n profit maana dawa inapesa sio kitoto sio kwamba nakupinga ila haina ladha kila dakika unaongelea kitu kile kile mwisho wa siku utakosa muda wa kuingia kwenye list za mamilionaire
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kwann wanaongelea HVO kwasababu wamekamatika hawana namnasasa wanajaribu kuzuga ili mada ya millionares ipotee lakini haitapotea na misumari tutapigilia na ajiandae bomu lake la BRT linakuja nitamyoosha huyo nyie subirieni mujioneee



kuna mwingine naona anauliza watu kwenye hii thread kama tuko kwenye list ilo mm sijui kwa kweli ila nnachojua ktz 2.3 bilion ni sawa na 1m usd sasa sijajua io pesa inawashangaza nn hawa watu Hehee!!ukiambiwa utupie link utaanza kurukaruka sasa hivino one can beat you when it comes to slums championship



Kati ya Nairobi na Jo'burg ipi ndio kusemaView attachment 1383670View attachment 1383671
Sent using Jamii Forums mobile app


, millionaire hawapo kwenu acha kucompare diesel sgr 

Distance ya mita 200 vs 10000, millionaire hawapo kwenu acha kucompare diesel sgr
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
kasahua miundombinu chini. Hizi battle zingine hazina tija na ni km kufuruKati ya Nairobi na Jo'burg ipi ndio kusemaView attachment 1383670View attachment 1383671
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mgeni wa hii thread. Hiyo haikuwa mara ya kwanza kwa huyo kijana wenu kuketa links azizoelewa content zake. Ingekuwa ni mara yake ya kwanza singeshugulika naye hata dakika mojaunakuwa kama mtoto mkuu alitumia link inayohusu tz vibaya kaleta kakosea sasa unazidi kungangania kitu kimoja mwezi unaisha afu mtu mzima kwani ulivosema kwamba link n ya drugs akanyamaza inatosha kuonesha kaelewa ivo topic iishe tumove on sasa kila baada ya comment mbili tatu ushaiongelea io post afu hata kuwa center ya drugs n profit maana dawa inapesa sio kitoto sio kwamba nakupinga ila haina ladha kila dakika unaongelea kitu kile kile mwisho wa siku utakosa muda wa kuingia kwenye list za mamilionaire
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada ya millionaires is neither here nor there. Knight and Frank stated that Kenya had 8,300 dollar millionaires in 2018 and was the third in Africa after SA, Egypt and Nigeria. How that number has dropped by 6,000 people in just over one year only them can explainUnajua kwann wanaongelea HVO kwasababu wamekamatika hawana namna 😁😁😁😁😁 sasa wanajaribu kuzuga ili mada ya millionares ipotee lakini haitapotea na misumari tutapigilia na ajiandae bomu lake la BRT linakuja nitamyoosha huyo nyie subirieni mujioneee
niko kwenye huu uzi kabla hujaja niliwahi sema nilifungua account jf kwa ajili ya huu uzi ivo naelewa hata kama mtu akirudia kitu kukosea mara nyingi ila kama we n mwerevu unampotezea tu mkuuWewe ni mgeni wa hii thread. Hiyo haikuwa mara ya kwanza kwa huyo kijana wenu kuketa links azizoelewa content zake. Ingekuwa ni mara yake ya kwanza singeshugulika naye hata dakika moja