Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Closer home, Kenya is expected to have 21,200 dollar millionaires, compared with Tanzania’s 15,200. joto la jiwe ameweka ripoti ya Dollar millionaires akifikiri Tz imeipiku Kenya ila akasahau kuisoma Hadi mwisho na kuelewa. Amefanya Kama wewe kusifia usilolielewa kwa ile ripoti ya Tz kuwa kitovu Cha wauza Unga Africa View attachment 1382598
Kenyans richer but Tanzania home to more millionaires : The Standard
Hahahaha, yote haya ni "Media" za Kenya ndio zinazosema hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Closer home, Kenya is expected to have 21,200 dollar millionaires, compared with Tanzania’s 15,200. joto la jiwe ameweka ripoti ya Dollar millionaires akifikiri Tz imeipiku Kenya ila akasahau kuisoma Hadi mwisho na kuelewa. Amefanya Kama wewe kusifia usilolielewa kwa ile ripoti ya Tz kuwa kitovu Cha wauza Unga Africa 😁View attachment 1382598
Wazee wa expectations lakini mambo kwa ground ushuzi si hata BRT muli expect iko wapi🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe expected 😁😁😁😁 bado muna ndoto wakat uhalisia huu hapa🤣🤣🤣👇👇👇👇
2330842_Adjustments.jpg
 
Closer home, Kenya is expected to have 21,200 dollar millionaires, compared with Tanzania’s 15,200. joto la jiwe ameweka ripoti ya Dollar millionaires akifikiri Tz imeipiku Kenya ila akasahau kuisoma Hadi mwisho na kuelewa. Amefanya Kama wewe kusifia usilolielewa kwa ile ripoti ya Tz kuwa kitovu Cha wauza Unga Africa 😁View attachment 1382598
GDP iliojaa ushuzi na madeni ya mchina🤣👇👇

GDP iliojaa ushuzi na madeni ya mchina

Kumbe habari ishawafikia huko kwao, ss hawa wapuuzi wa humu mbn wanajitia kuzikosoa hzo takwimu tatizo nn elimu duni ya kufafanua mambo au wivu wa kimaendeleo, hakuna gazeti hata moja la kenya linalopinga hzo report wala hakuna msomi hata mmoja tunayemjua ambaye ameonyesha wasi wasi, ila wasi wasi unaoneshwa na hii misukule ya humu, pathetic.
 
D N A 😂😂😂
 
Unajua bro hawa walijisahau sana wakadhani nchi za east Africa bado ni zile za 90s sasa leo kumekucha ndio wanatafuta shuka 🤣🤣🤣 hawawezi amini miaka minne ya huyu jamaa kafanya maajabu ya dunia mark my words
 
Wanadhani Tanzania ni kama wao ambapo chanzo cha utajiri Kenya ni ufisadi pamoja na rushwa 😂😂😂
 
Back
Top Bottom