Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SGR Kenya
Mombasa-Nairobi: 472km - $3.3bn
Nairobi-Naivasha: 120km - $1.5bn
Naivasha-Kisumu: 262km - $3.7bn
Kisumu-Malaba: 107km - $1.7bn
Malaba-Kampala: 273km - $2.3bn

can’t you see any contradiction here in distance and costs??






SGR Tanzania
Dar es Salaam-Morogoro: 205km - $1.2bn
Morogoro-Dodoma: 336km - $1.9bn
Dodoma-Tabora: 294km
Tabora-Isaka: 133km
Isaka-Mwanza: 248km
Isaka-Kigali: 571km - $2.5bn

View attachment 1382279
Jiulize kwanza mumebakiza KM ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sector gani wapo vzr hebu muulize hio plant ya isuzu inauza wapi magari nje ya kenya?? Mwambie akuoneshe plant ya Toyota assembly akiipata nitag mm nifunge account jamii forum, hio mahindra mayo ni gari atamuuzia nani??
Pamoja kuwa hawana plant ya toyota wako na VW ndo nahisi ndo kiwanda kinachozalisha magari hapo kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugua pole pole plz🤪🤪🤪🤪
Closer home, Kenya is expected to have 21,200 dollar millionaires, compared with Tanzania’s 15,200. joto la jiwe ameweka ripoti ya Dollar millionaires akifikiri Tz imeipiku Kenya ila akasahau kuisoma Hadi mwisho na kuelewa. Amefanya Kama wewe kusifia usilolielewa kwa ile ripoti ya Tz kuwa kitovu Cha wauza Unga Africa 😁
Screenshot_20200308-220052.png
 
Back
Top Bottom