Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Mo dewji sio mhindi ni mtanzania by birth,hata huyo bakhresa ni mtz,hustle zake zimeanzia pale kariakooWewe ni mjinga sana. This is an epitome of double speak. Kwa hivyo Mhindi, mzungu au mwaarabu akimilki kitu Tanzania hakuna shida Kisa nyinyi "hambagui" lakini mzungu akimiliki kitu kenya Mnasema uchumi wa kenya inamilikiwa na wazungu na wahindi! Are you even listening to yourself bongolala? Uchumi wenu inamilikiwa na Omani Arabs na wahindi. Nyinyi ni walalahoi tu wasiokuwa na mbele wala nyuma
Kwa nini unashindwa kutofautisha nationality na asili!?..ulisoma shule gani we dogo?
